Makamanda wa arusha kuweni makini na mtaa wa Sanawari.

mgoli magombe

Senior Member
Apr 20, 2013
121
27
Ndugu zngu makamanda wa Arusha kuweni makini sn na mtaa wa sanawari coz majizi ya ccm yalichukua watu kutoka mount meru university na arusha university wakajiandikisha ili wawapigie kura.
 
Mkuu sio sanawari tu,wengine wamepelekwa sekei na uzunguni haswa kituo cha AICC hospital, wamepewa mpaka majina ya mitaa na ya mabalozi incase wakiulizwa, chadema inahujumiwa sana.
 
Hao mnao sema wanapelekwa kwani sio wana arusha? Kila siku mnasema arusha wote ni cdm sasa mbona mnaanza visingizio?
 
Huu ni uchaguzi wa vitongoji, wanachuo wanaoishi usa river na ngaramtoni wanachukuliwa na magari na kwenda kuandikishwa maeneo yaliyotajwa,wanapewa lunch na hela na wameahidiwa fungu siku ya uchaguzi, Sijui wapanga mikakati wa CCM wanawaza nini wanachuo waliohusika ni wengi na isingekuwa rahisi wote kutunza siri
 
Kama wanachuo wanakaa mitaa hiyo ulitaka wasipige kura? sema sanawari ipi ya juu, chini, enaboishu, kwa mollel , idara ya maji au wapi?
 
Back
Top Bottom