Makamanda Polisi Mikoa Arusha na Mbeya wateremshwa vyeo

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Yule rpc aliyesababisha matatizo makubwa huko arsha kwa ajili ya kujikomba hatimaye amehamishiwa kwenye kitengo kipya makao makuu ya polisi dsm. Nafasi yake imechukuliwa na rpc liberatus anayetokea manyara kuja hapo arusha. Ni matumaini kuwa liberatus kama jina lake lilivyo atakuwa liberal na kutenda haki

source: Magazeti mengi ya leo jumapili
 
Ndio mwisho wake hana chake tena cheo ni dhamana bhana ngoja akawe mesenja pale makao makuu
 
Mi naona kama kapandishwa cheo,kapewa ukuregenzi utawala na rasilimali watu,anaweza kuwa IGP afta Mwema
 
Huyu na Chagonja wajiandae kwenda exile 2015.Hakuna kitu kama truth and reconciliation kwenye uhai na damu ya watu iliyomwagwa.

Ben,
Kimsingi jeshi la polisi kama taasisi haina tatizo na Chadema, na kwahiyo sisi kama chama cha siasa hatuhitaji kuwa na ugomvi na taasisi ya jeshi la polisi kwani ushahidi uko wazi kabisa kwamba askari polisi wengi sana wanatuunga mkono.

Lakini ni muhimu ijulikane kwamba kuna baadhi ya maofisa wa juu wa jeshi la polisi wanatumika vibaya na ccm, ama wao wenyewe kwa utashi wao wanajipendekeza kwa ccm hadi wanafanya vitendo vibaya dhidi ya wanachama wenzetu pamoja na chama chetu kwa ujumla. Hao ni lazima watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria, punde tu tutakapoikomboa nchi hii toka katika ukoloni wa ccm.
 
Last edited by a moderator:
Heee' zile mil 10 alitoa ahad za kukamatwa kwa waliomuua mwenyekiti wa CDM usa ndo bas tena na hata ufatiliaji wa wahusika wa kifo hicho utakua hafifu sana coz huyo aliyekuja atasema hajui au kakuta file mezani lililoachwa na mtangulizi wake Andengenye so atakuwa hana nguvu ya ufatiliaji wa mauaji hayo.
 
Ben,
Kimsingi jeshi la polisi kama taasisi haina tatizo na Chadema, na kwahiyo sisi kama chama cha siasa hatuhitaji kuwa na ugomvi na taasisi ya jeshi la polisi kwani ushahidi uko wazi kabisa kwamba askari polisi wengi sana wanatuunga mkono.

Lakini ni muhimu ijulikane kwamba kuna baadhi ya maofisa wa juu wa jeshi la polisi wanatumika vibaya na ccm, ama wao wenyewe kwa utashi wao wanajipendekeza kwa ccm hadi wanafanya vitendo vibaya dhidi ya wanachama wenzetu pamoja na chama chetu kwa ujumla. Hao ni lazima watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria, punde tu tutakapoikomboa nchi hii toka katika ukoloni wa ccm.

Kamanda ni kweli kabisa, kwani uchaguzi uliopita 2010 line polisi kituo walichopigia kura familia za polisi (Kituo cha Mount Meru Hosp. Arusha) CHADEMA walipata kura nyingi sana.
Kivitendo polisi hatuko nao, ila ukweli wanaunga mkono mabadiliko. Tatizo kwa Polisi na Jeshi lipo kwa viongozi wao!
 
Mkuu Andengenye anaandaliwa kuwa IGP

Mungi,
Taarifa za Andengenye kuandaliwa kuwa IGP zimezagaa sana mitaani hata kabla ya uteuzi huu. Lakini atambue kwamba hata kama atakuwa ameteuliwa kuwa IGP siku tukipandisha juu bendera ya ukombozi kwa mara ya pili basi hapo ni kama alivyofanya Rais Joyce Banda wa Malawi.
 
Last edited by a moderator:
Kweli uelewa mdogo ni tatizo kubwa.....jamaa kaenda kuwa mkuu wa utawala na rasilimali watu wa jeshi la polisi tanzania nawe unashangilia kashushwa cheo.....he hii kali kwa kweli.hujui hata ranking ilivyo kaa
 
Andengenye hakuwa na tatizo sana. Tatizo lipo kwa Zuberi Mwombeji, OCD.
 
Ben,
Kimsingi jeshi la polisi kama taasisi haina tatizo na Chadema, na kwahiyo sisi kama chama cha siasa hatuhitaji kuwa na ugomvi na taasisi ya jeshi la polisi kwani ushahidi uko wazi kabisa kwamba askari polisi wengi sana wanatuunga mkono.

Lakini ni muhimu ijulikane kwamba kuna baadhi ya maofisa wa juu wa jeshi la polisi wanatumika vibaya na ccm, ama wao wenyewe kwa utashi wao wanajipendekeza kwa ccm hadi wanafanya vitendo vibaya dhidi ya wanachama wenzetu pamoja na chama chetu kwa ujumla. Hao ni lazima watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria, punde tu tutakapoikomboa nchi hii toka katika ukoloni wa ccm.
Mwita Maranya,

ofcourse hatuna tatizo na Jeshi la Polisi na ni kweli polisi wengi wanatuunga mkono.Wale waliotumia madaraka vibaya ni lazima washughulikiwe hakuna suluhu hapa.Kuna wale marafiki zangu wanaopenda kunipaka kwamba nina visasi lakini hapa ni kujenga nidhamu ya Jeshi.Matumizi mabaya ya dola ni lazima yashughulikiwe.Naunga mkono anachofanya michael Sata Zambia.Na bado kazi inaendelea

Mkuu Andengenye anaandaliwa kuwa IGP

Huyu hata akiwa IGP ni lazima awajibishwe kwa matumizi mabaya ya nafasi yake.joyce Banda alimtimua IGP kazi ndani ya masaa 72.Inatakiwa sasa 2015 watu kama hawa siyo kutimuliwa tu ni lazima washitakiwe.
 
Back
Top Bottom