Makamanda hawa wa chadema wanauwezo ulio pita kiasi


samilakadunda

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Messages
1,719
Likes
55
Points
145
samilakadunda

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2011
1,719 55 145
Hapo namba 2 umechemka kwa sababu UDOM na vyuo vingine nchini hakuna CDM. Wanafunzi wote ni CCM kwa sababu ya njaa ya bumu.
kakwambia nani? hujasoma chuo wewe, nakamaumesoma ni miaka ya akina nyerere na mkapa. nenda kajionee sasa masisie wanavozomewa.
 
O

OMEGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
695
Likes
135
Points
60
O

OMEGA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
695 135 60
Ni kwenye kongamano lililo andaliwa na BAVICHA siku ya uhuru ambapo niligundua kuna kinadada majasiri na wenye uwezo mkubwa wakujenga hoja kwa kiwango cha juu sanaaaaa, naamini kama chama kita waangalia kwa umakini watakuja kua viongozi wakutumainiwa wa chama na Taifa kwa ujumla.Japo siwakumbuki vizuri majina yao naamini ujumbe utawafikia wahusika.
1. Ni dada aliye jitambulisha kama katibu mwenezi Ukonga....Huyu dada japo sina uhakika sana ila namfananisha na dada mmoja alikua anaitwa Pendo alishawai kushiliki maisha plus ya kwanza na kushika nafasi yapili ..Huyu dada anauwezo wa kuchambua mambo na ni mwelewa wa mambo na anaonekana anaakili sana, uwezo mkubwa wa kojenga hoja zaidi ana confidence ya hali ya juu sana.
2.Ni dada aliye kua amevaa hijabu na mtandio wa langi ya orange na scarf ya chadema shingoni, alijitambulisha anasoama UDOM km sikosei, kama ilivyo kwa wa kwanza dada anajua kupangilia aongee ni nn na anaujasiri wa hali ya juu sana, na uwezo wa kusimamia anacho kizungumuza bila hofu na kwa umakini mkubwa.
3.Dada mmoja anaitwa Asha Muhamad kama cjakosea yeye alijitambulisha ni mwenyeji wa kologwe, japo kua anaulemavu wa ngozi lakini alikua anajiamini , anaonesha anauchungu na nchi yake ana nia ya kuwatumikia watanzania na anauwezo wa kujenga hoja sana naamini Prof Majimarefu ahesabu siku zake tu zilizo salia.
4.Ni Jesca Kishoa huyu anatoka singida japokua mwigulu nchemba alishawai kuandiaka kweye ukurasa wake wa fb kutishia kumuua lakini bado anajenga hoja zenye mashoko na kujiamini sana.

Japo siwafahamu vizuri saana lakini wanaonekana ni akina dada wenye uwezo wa haliya juu sana kisiasa na naamini kama chadema itautambua uwezo wao hawa, basi Taifa litapata viongozi wazuri sana badae. Nikazi ya chama kuwapa uzoefu zaidi na zaidi. Ili kuwaimalisha zaidi kwani kwa mda mrefu taifa limekosa wawalikilishi na viongozi wa jinsia ya kike wenye uwezo wa kujenga hoja ukiacha wachache kama akina Halima Mdee na Bulaya .
Ni kweli,kuna wakina Zitto wengi sana wameisha kuwa groomed,wala hakuna haja ya kumkawiza Zitto Kabwe,avuliwe tu uanachama na chama kitabaki imara hata kuzidi mwanzo,ni bora kuwa na wanachama wachache waaminifu na waadilifu kuliko kujaza hypocrites kwenye chama.Pia awa wadada wenye damu changa wawe considered zaidi 2015 kwenye viti maalumu kama vitakuwa bado vipo kuliko kuwa na wenzake na Arfi wakina mama Malaki na type hiyo ambao baada ya kupata ubunge hawana jitihada zozote za kuimarisha chama,wako busy kuimarisha familia zao.
 
DCONSCIOUS

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,272
Likes
27
Points
145
DCONSCIOUS

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,272 27 145
Naamini tukiwa na wabunge wanne tu kama wale ndani ya bunge letu, inakua haina haja ya kuwa na wabunge wa vitimaalumu ndani ya bunge letu, wanatosha sana.
 
B

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
497
Likes
150
Points
60
B

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
497 150 60
Sijaelewa mpaka leo tatizo hili la uandishi wa aina hii linatokana na nini,ila nakushauri ujenge mazoea ya kusoma vitabu vya kiswahili vilivyo andikwa kwa usanifu na magazeti makini ili ujue uandishi sahihi
"Usiangalie mavazi yangu angalie kile nitakachosema" by Mandela Nelson.
 

Forum statistics

Threads 1,264,235
Members 486,221
Posts 30,176,236