Makalio Makubwa...

shilanona

Member
Oct 31, 2010
55
22
Hivi kwa nini wanawake wanachoma sindano za silicon ili kukuza makalio yao? Wengine wanatumia mpaka dawa za Kichina kuongeza saidi ya makali? Mpaka inafikia wakati wanawake wananunua nguo special zilizotengenezwa maalum kuongeza ukubwa wa makalio? Secretary wangu anasema eti wanafanya hivyo ili kuongeza shepu zao kuwavutia wanaume. Anadai eti wanaume hupenda makalio makubwa kwa sababu ya kuyashikashika na wakati mwingine kuyapigapiga wakati wa tendo la ndoa. Wengine wanasema makatio ni station ya kutengeneza joto linalowafanya wanaume waone kama wako peponi wakati wa tendo hili. Mimi siamini haya. Wenye utajiri wa makalio watupe data.
 
secretary wako amesema ukweli mwana...achana na makalio ya ukweli tena hasa wakati umembenjua style ya mbuzi kagoma kwenda.... awe analigonvesha gingesha against the duahelele...vile linavyotikisika full raha lol
 
majimama, wadada wa makampuni ya clearing and forward mpo??
 
Pengine secretary wako kasema ukweli japo si kila mwanaume ana vutiwa na makalio bali wengi utamani wanawake wenye makalio makubwa!

Ikumbukwe kwamba bakhresa ana tengeneza cola sababu ana pata wateja!

Alaf sijui utamuamini yupi kati ya member wa humu au secretary wako?
Hivi kwa nini wanawake wanachoma sindano za silicon ili kukuza makalio yao? Wengine wanatumia mpaka dawa za Kichina kuongeza saidi ya makali? Mpaka inafikia wakati wanawake wananunua nguo special zilizotengenezwa maalum kuongeza ukubwa wa makalio? Secretary wangu anasema eti wanafanya hivyo ili kuongeza shepu zao kuwavutia wanaume. Anadai eti wanaume hupenda makalio makubwa kwa sababu ya kuyashikashika na wakati mwingine kuyapigapiga wakati wa tendo la ndoa. Wengine wanasema makatio ni station ya kutengeneza joto linalowafanya wanaume waone kama wako peponi wakati wa tendo hili. Mimi siamini haya. Wenye utajiri wa makalio watupe data.
 
Makalio makubwa huridhisha mwanaume kisaikolojia tu but hayana uhusiano na utamu wa mtu/mhusika unless unataka kuyashika shika tu. Mi naona ni kuzidisha uchafu tu mwilini maana mwanamke akiwa ana makalio makubwa kama "hachambi" vizuri atabakiza uchafu huko SAUDI ARABIA so Mikalio mikubwa si ya kufurahia. halafu hata wakati unashughulika makalio yanapoteza "Centre of euillibrium" ni kama vile uka-park gari kwenye mteremko mkali
 
Nipatie nimpe diet, in 3 months lazima atajazia kwa nyuma kwani nitakuwa nampa natural medicine siyo haya masindano ya kichina..!

naunga mkono kifarutz , shem wangu alitumia hio diet, ukimwona sasa hivi mashalaa, afrika bambataa. hiyo diet naijua wala siyo mchina ni mgeruman original. wenye kuhitaji waseme tuwasaidie. wasitumie mchina noma!!!
 
Hivi kwa nini wanawake wanachoma sindano za silicon ili kukuza makalio yao? Wengine wanatumia mpaka dawa za Kichina kuongeza saidi ya makali? Mpaka inafikia wakati wanawake wananunua nguo special zilizotengenezwa maalum kuongeza ukubwa wa makalio? Secretary wangu anasema eti wanafanya hivyo ili kuongeza shepu zao kuwavutia wanaume. Anadai eti wanaume hupenda makalio makubwa kwa sababu ya kuyashikashika na wakati mwingine kuyapigapiga wakati wa tendo la ndoa. Wengine wanasema makatio ni station ya kutengeneza joto linalowafanya wanaume waone kama wako peponi wakati wa tendo hili. Mimi siamini haya. Wenye utajiri wa makalio watupe data.
Wewe unaamini nini?
 
Ngoja waje! Binafsi she wangu kapigwa pasi mbaya....

Mwanamke nyonga(hips) kaka, masuala ya makalio ni majaliwa...ila usafi unahusika sana kiongozi...unaweza fungua kitabu ..ukapeleka shingo pembeni..hiyo harufu...mfereji haujasafishwa muda....
 
Mi nategeka na mwenye kalio kuuuuubwa original feki nalijua kwa kuangalia nina uzoefu nayo.
 
waafrika halisi tunapenda maumbo makubwa, mambo ya english figa ni mambo ya ukoloni, mie binafsi napenda mwanamke mwenye matak0 makubwa, yani hawa wembamba hamna kitu, mwisho nimvunje bure
 
Back
Top Bottom