MAKALIO!!..MAKALIO!!..finaly yamemuua anko wangu!

Status
Not open for further replies.

jaynick

Senior Member
Apr 7, 2013
167
12
ama kweli tamaa mbaya sana. Mimi nimempoteza mjomba wangu kwaajili ya hayo makalio. Mjomba wangu anaitwa rutashobwa mugemuzi. Alikuwa mwanasheria kitaaluma! Kwa kweli alikuwa mdhaifu sana kwa wanawake wenye makalio makubwa. Yani asimuone mwanamke mwenye makalio akili yote inahama! Mbaya zaidi hakuwa akitumia kinga! Miaka mitatu iliyopita alimpata dada mmoja hivi kutoka tanga! Kwa kweli huyu dada alikuwa kajaaliwa nyuma jamani! Mjomba wangu akamgegeda sana mpaka akachoka. Kumbe huyu dada alikuwa ana ngoma banah! Mwaka mmoja badae mjomba akaanza kuugua sana. Kumbe alikuwa ameshaukwaa tayari! Bahati mbaya alichelewa kuanza dozi then afya yake ikazidi kuwa mbaya. Mwaka jana tumemzika akiwa na kilo 8 hali inatisha. Kupitia waraka huu nawaonya wanaume wenzangu kuacha tamaa za ajabu. Najua humu jf kuna wadau wengi wa haya makalio a.k.a kabang! Shauri zenu mtakufa siku si zenu.
 
Hivi bado kuna weanaume wanaendekeza mambo haya?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nakala kwa Madame B!
Chezeya hiyo kabang!...utajiri unaukalia kwenye sofa!

Bora umeleta hii uzi, maana kuna mburula mmoja kapandisha uzi huko anasema 'gari itaniua' maana wenye kabang wanamfuatafuata sana!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom