Makala ya nyota.Utauliza LIVE FNL(chanel 5) tonight from 22:00 hrs.Duration 15 min. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala ya nyota.Utauliza LIVE FNL(chanel 5) tonight from 22:00 hrs.Duration 15 min.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maalim Jumar, Mar 11, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Habari zenu JF members!
  Leo EATV KWENYE KIPINDI CHA FNL utamuuliza maswali ya hapo hapo Mtabiri wa nyota.
  Hilo halihitaji majungu na mashaka uliza ujue pia upate uhakika wa kazi zake.
  Pia anapatikana kwenye gazeti la kila siku la Mwananchi uk wa nyota.
  Karibuni!.
   
 2. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante mtaalam. Jana nlitazama kweli mambo uliomweleza jamaa nami ninae ndugu yangu yaani ni vile vile ulivyo eleza.
  Nami ninalo tatizo fulani ntakutafuta!.
  Na kuhusu dawa duh ulielezea japo ilikua juu juu. Bora ungepewa muda wa kutosha ili tujue mengi zaidi.
   
Loading...