Makala ya Mwanakijiji: Serikali ya TZ na double standard kwenye "utawala wa sheria" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala ya Mwanakijiji: Serikali ya TZ na double standard kwenye "utawala wa sheria"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-mbabe, Jun 8, 2011.

 1. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Nimesoma makala moja ya Mzee Mwanakijiji (MMK) kwenye gazeti la Mwanahalisi la leo (uk wa 9).

  Anaongelea juu ya recent arrest ya Mbowe na suala zima la "utawala wa sheria" hapa nchini......

  Kupitia makala hii, MMK anaainisha jinsi serikali yetu hii inavyojichanganya katika matumizi ya hii kitu inayoitwa "utawala wa sheria". Anasema ni dhahiri serikali yetu huwa inachagua ni wakati gani itumike na wakati gani isitumike - double standard!

  Hapa nitaweka highlights za baadhi tu ya yale aliyoyaandika (vikolezo vingi ni maneno yangu mwenyewe lakini maudhui ni ya MMK). Na kwa vile tayari iko kwenye public media sidhani kama ninahitaji idhini yake kuibandika hapa.

  1/ Mbowe amekamatwa kwa kupuuzia amri ya mahakama. Serikali ime-act swiftly kupitia polisi kwa kuzingatia misingi ya "utawala wa sheria". Fair enough.

  2/ Mfanyabiashara Valambia alifungua kesi ya madai dhidi ya serikali ya tshs bilioni 56, lakini pamoja na mahakama hii hii inayowadhalilisha akina Mbowe kutoa ruling more than 10 times all in favour of Valambia, bado hajalipwa hadi leo - miaka 14 hebu imagine! MMK anauliza "utawala wa sheria uko wapi hapa?".

  3/ Balali (note: sijatumia marehemu kwa sababu zilizo wazi), kwa nafasi yake ya ugavana alikuwa summoned na mahakama kwa kugoma kumlipa Valambia. Balali hakwenda mahakamani... lakini cha ajabu wala hakukamatwa!!
  MMK anaendelea kuuliza, na mimi naafiki, "utawala wa sheria uko wapi?"

  4/ Baada ya kubainika kuwa kwenye ununuzi wa rada serikali ilikuwa ripped off by a staggering Tsh 21 billion, huku waliotafuna huo mshiko (directly or indirectly) wanajulikana, kila mtu alitegemea kuwa serikali inayojinadi kuzingatia "utawala ya sheria" ingechukua hatua za haraka za kuwafikisha wahusika hao kunakostahili....lakini wapi bwana.....hadi leo jamaa wanadunda mtaani kwa raha zao huku wakitukuzwa "waheshimiwa"!!
  MMK ana-conclude hii point kwa kusema "...lakini katika suala la Mbowe wanasema 'hakuna aliye juu ya sheria'".

  5/ MMK hajaisahau ile infamous Kagoda story na yale mahela ya EPA/BoT.
  Anasema... "tulipoanza kupiga kelele wakati ule, kauli za viongozi zilikuwa 'tukiwakamata Kagoda nchi italipuka' na wengine wakadai eti 'Kagoda haikamatiki'".
  Katika hili MMK anachagiza zaidi... "je, suala la kutokuwa juu ya sheria ni Chadema tu?".

  6/ MMK pia ameongelea juu ya ripoti ya CAG inavyoonyesha jinsi "sheria mbalimbali zinavyovurugwa kwa maslahi ya watu binafsii". Ametoa mfano wa sheria ya manunuzi (PPRA) na sheria ya fedha haramu (money laundering).... anabainisha kuwa hakuna "kamata kamata" ya watendaji waliohusika kupoteza mabilioni ya umma!
  Kwenye hili MMK anachagiza.... "haki haitakiwi kuwa na macho".

  7/ MMK anatoa mlinganisho...."ingawa ukiangalia kwa jicho la kengeza utaona kuwa kukamatwa kwa Mbowe na wenzake kunaweza kuwa sawa, katika mizani ya haki makosa wanayodaiwa kuyafanya hayawezi kulinganishwa na makosa ya watu kama Benjamin Mkapa, Robert Mboma, Andrew Chenge, Rostam Aziz, Daud Balali na wengine".
  Hii mimi nimeipenda zaidi..

  Kwa uchache, hayo ndiyo aliyoyaandika Mwanakijiji (shukurani kwake) kwenye gazeti la Mwanahalisi hii leo 8 Juni 2011.
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikalitafute haraka.. i wish watanzania wote tungekua na uwezo wa kusoma vitu kama hivi
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimeisoma hiyo makala ameandika fresh sana inaeleweka kwa kila mwenye akili timamu ila sio kwa watu kama FF
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kinachosikitisha ni kwamba wanasoma, wanamaliza, wanafungia maandazi haya magazeti.......
   
 5. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa taarifa iliyojitosheleza God Bless you
   
 6. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu MMK yuko makini sana, Napenda sana Makala zake... I wish ningemuona uso kwa macho....
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Respect MMK
   
 8. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  nimeshalinunua na kuituma hiyo page tu kwa DHL kwa Kamanda Chagonja. Ni 10600/= kwa DHL. Wamesema mwenye parcel ata-receive kesho mchana.
  Naomba mwingine mwenye adress ya Kova amtumie hiyo page kwa DHL
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  1) Fair Enough

  2) Kuna uhusiano upi kesi ya madai na kesi ya kuvuruga amani? moja ni criminal case na moja ni civil case. Hapo amechemsha ana "compare" oranges na apples.

  3) Sawa na namba mbili hapo juu.

  4) Kesi tofauti kabisa na kama unaona wapo na sheria hazijachukuliwa unangoja nini kuwashitaki? Ulikatazwa?

  5) EPA, looo! soma hapa: KESI YA EPA: Maranda, Farijala wafungwa miaka 5

  6) Kesi za manunuzi maarufu hizi hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/121796-jaji-mwangesi-abwaga-manyanga-kesi-dhidi-ya-balozi-mahalu-na-wenzake.html na hii hapa: Shahidi amlipua Dk. Msabaha kesi ya Bosi wa Richmond na pitia TAKUKURU ukaone zingine kibao,si zote zinazotangazwa.

  7) Macho ya kengeza? hivi mtu mzima unatolea mfano kilema cha mtu kama vile ameomba? huu ni upunguwani wa hali ya juu, kuna nyuzi mwanakijiji alianza kumkebehi aliye na matatizo ya akili humu humu JF leo anatolea mfano kwa macho kengeza kama yule mwenye nayo kapenda hivyo au kajiumba mwenyewe? Hata Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa hapa nchini ni kengeza lakini ni lini akatolewa mfano kwa kilema chake? Au anataka kumdhalilisha?

  Hao aliowataja wote ni pumba tu na chuki binafsi. Kutaja majina bila kuonesha makosa yao ndio nini?
   
 10. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wale waliotumwa na Nape humu jukwaani wala tusiwajibu
   
 11. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nakiri, Mungu amekunyima akili.
   
 12. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Fair enough. Everybody is entitled to their opinion - manure or not, notwithstanding.

  Hata jambazi, malaya, nk....ukiwasakama against their immoral behaviours - wana point kali hao pengine kuzidi hata malaika!
   
 13. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Siku nilipomtembea Mbowe central polisi nikiwa na John Mnyika na madiwani watatu, tuliongea kwanza Machache na kamanda suleiman kova. Moja ya mambo niliyomwambia ni kuwa polisi wana double standard kkt kutekeleza sheria pale jambo linapohusu upinzani. Jambo ambalo hata Mnyika alilizungumzia pia. Nilimwambia ukweli ( bila kujali kama atakasirika) kuwa double standard yao itawapa tabu pale ambao wanaowaonea leo wakiwa madarakani mwaka 2015 bila wao kutegemea. Na alinielewa vizuri japo alisema katika hili tunatekeleza amri ya mahakama.
   
 14. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ni kama ulijua kiongozi
   
 15. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Mtu ahujumu uchumi kisha aachiwe free!? Nakupa ukweli huu leo. Ukweli huwa haupotei na wala haki haipotei hata mara moja. Watanzania wa sasa wanakuwa waelewa na ni asilimia kidogo tu wamebaki wazee. Maana yangu ni kwamba wewe na wenzako mjitahidi kubadilika. Hata KANU walikuwa kama CCM kunako miaka michache iliyopita. Mkiwa neutral na kupenda haki itawasaidia. Najua mnanufaika na system mbovu iliyopo but, mtakosa pa kuficha nyuso zenu siku zikitimia ndugu zangu. Watu wakizungumzia haki msipinge tu kwa sababu hamko jahazi moja. Mnatia aibu.
   
 16. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umenena mkuu, point yako naizingatia
   
 17. Y

  Yana Mwisho Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hii nimeipenda pia. Kwenye comment yako ya 'sio kwa watu kama FF' nimekuaminia baada ya kusoma comment yake. Duuh! Kama ulijua vile atakachoandika. hahahaa
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  watu wanaosema mambo ya maana huwa sio rahisi kujionyesha onyesha kama alivyosema Mzee Mkapa recently. Ndiyo maana rafiki yangu mmoja (a non Tanzanian) alikuwa akiyashangaa magazeti/media za Tanzania na akanishauri kuwa nikitaka kusoma gazeti daima niangalie tuvichwa tudogodogo kwa vile ndio tuna habari za maana. :)
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  I agree with MMK, but sometimes I think it is not bad kwa viongozi kukamatwa as far as wamevunja sheria na wanakuwa respected, wanaangaliwa vizuri na polisi. Kosa moja halihalalishi kuwa tabia,(one mistake does not justify right )kama huko nyuma watu hawakukamatwa lets say was a mistake, but let look forwad kama wengine watalindwa, tuseme.

  Cha muhimu Hon Mbowe hakufanyiwa mabaya, alilindwa kama alivyojieleza, tushukuru Mungu na kubwa zaidi ameongezewa umaarufu na chati ya cdm imepanda.
   
 20. B

  Bobby JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hili nalo neno tuwaache wapite na iginorance zao kama vile hatujawaona. The good thing ni kwamba ile Tsh 2000 yao ya per day wataipata so hatutaathiri mapato yao. Nimeambiwa determinant ya pay ni posts sio responses so waendelee kupost upupu wao na sisi pia tutaendelea kuupotezea upupu wao-win win situation.
   
Loading...