Makala Ya Kasungura Ni Bomba

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
394
124
Bi sent 50 una haki kutoa maoni yako,lakini pia nafikiri kwa mtazamo wangu ama umeielewa vibaya makala ile ya Kasungura au umepotoka hasa kwa kumtuhumu moja kwa moja mwandishi kuwa anatumiwa.Mimi niliisoma makala ile,ujumbe aliokuwa anataka kuufikisha kwa jamii umejikita zaidi kutokana na kauli mbalimbali alizotoa waziri kigogo mwenyewe.
Binafsi nampongeza mwandishi wa makala ile namuomba asikatishwe tamaa bali aendelee kutoa mchango wake katika vita hii ya ukombozi wa fikra.Mimi naamini kuwa MUHIMU ZAIDI NI NCHI YETU TANZANIA NA WANANCHI WAKE SIO KIONGOZI KAMA MTU BINAFSI.Kiongozi yupo leo kesho hayupo lakini Tanzania na Watanzania wataendelea kuwepo.
Kama kiongozi analeta usanii lazima apewe ukweli na sio kujikomba huku moyoni unasononeka.

BIG UP wana JF wote wanaotetea uhuru wa maoni
 
Big up Mtu Mzima...

hiyo makala ya kasungura imewagusa big time na wanajaribu kufanya mashambulizi yasijewakuta yale ya ndege inayopaa..

kazi wanayo mbona!
 
Big up..Mwana wakijiji ...Hao ndio viongozi wana maneno mengi mpaka wanasahau jana walisema nini...ni bora kuwa na mmoja mpenda sifa mwingine mchapa kazi...lakini wakiwa wote watu wa longo longo ni balaa..Nahisi hata hotuba zao wanaandikiwa tu ama uelewa wao ni finyu..hivi kweli leo waweza sema uchumi wapaa kama ndege.....siku chache baadae ukaanza kutuambia mambo ya visungura?
 
Back
Top Bottom