Makala Hii ya Kikwete kwenye Jarida ni Mashtaka dhidi yake, chama na serikali yake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala Hii ya Kikwete kwenye Jarida ni Mashtaka dhidi yake, chama na serikali yake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 31, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Opinion

  Health is Tanzania's priority
  Publish Date: Jan 31, 2012


  The writer is Tanzania's President
  Source: Global Health and Diplomacy Magazine
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  After paying a cursory view on the article, I failed to find any problem when a country's president explains to the world about the hardships facing his people regarding health issues. He has made a graphic presentation of the scale of Malaria and poor health services which are the major culprits responsible for millions of avoidable deaths across the developing world. Despite my pessimism about his ability as the president, I would this time hand him credit for this kind of presentation.
   
 3. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  This article is an attempt for him to appear pragmatic and pro-active especially because it includes details of an initiative whose leadership was shared by him and prime minister Harper of Canada. However, inadvertently it sculpts a direct indictment on his regime's record of ridiculous delivery of even the most basic social services.
  Reading through it one cannot help but smell a heavy odour of abject hypocrisy that easily deceives anyone not privy to the situation in the country. He mentions resource tracking, transparency, credibility, efficiency, etc. while he fully knows none of these principles exist in the DNA of his pathetic regime.
  Finally, the article wasn't written by him, his office possibly provided local details and added a few lines along to beef up the context, but the article must have been put together by someone either in the US or Canada.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  rais ameweka makala nzuri, ila msimamo wake dhidi ya ufisadi unaifanya hii makala kuwa kama jokes kwa wananchi wake
   
 5. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  So, it seems the notion of two faces suites you quite well. How could you argue stating health status to the world is significant in solving health issues domestically? is there a correlation there?
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  You missed the point. Yote aliyoyaweka ni mazuri kweli na kwa kweli ni ya kweli japo some figures siyo sahihi. Lakini anayatenganisha na uongozi wa serikali yake, chama chake na yeye mwenyewe. Ni kana kwamba haya aliyotuelezea ni matatizo yaliyoshushwa na shetani!
   
 7. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  JK should walk his talk! What I hate about JK is his sweet talk but does nothing about it. The Tanzanians have known him and the international community is gradually discovering him. Just imagine a few years ago, how he used to be highly regarded in almost in all international forums he attended... but now...nobody cares about him. Frankly, JK is a big disappointment; in any egalitarian society he would gracefully bow out even before his second tenure ends or his party would have recalled him. Sad that we do not have this culture!
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  So what would you have expected the article look like? That he should have thrown the blame upon his own government for the floundering health system in his own country? Had he done that the whole world would have labeled him the most clownish president.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  thats why I said it; sikuwaandikia Waingereza. Kwamba aliyoyasema hapo ingekuwa ni "self incrimination". Fikiria mtu anaitwa kuelezea kwanini watoto wamekutwa wamekufa kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba yake. Halafu anaanza kuelezea "Unajua nyumba yangu nilipoijenga kwa kweli sikuwa nimetumia udongo mzuri na mchanganyo wa sementi na mchanga kwa kweli haukuwa mzuri. Mtu niliyemuajiri kuangalia ujenzi wa nyumba sikuwa nimemfanyia uchunguzi wa kutosha. Hata hivyo wakati nyumba imeanza kuonesha nyufa nilijaribu kuegesha miti ili isidondoke. Lakini wakati nilipokuwa najiandaa kufanyia matengenezo nikajikuta nimepata mke mwingine kwa hiyo gharama za harusi zikanifanya nichelewe kufanyia matengenezo". Watu ambao watakuwa wamemsikiliza watajua mara moja anachokifanya japo yeye mwenyewe alitaka aonewe huruma!
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hii makala kaiandika yeye mwenyewe kweli bila msaada wa mtu?
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  It bears his name thus the response would be in the affirmative
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hmmm, okay.
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndivyo ulivyoelewa hiyo makala..basi wewe huwa unaelewa vibaya kila siku..maradhi hayo
   
 14. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  He's been in power for 6yrs out of 50yrs, or let's say 127yrs since this land had a government. If the maternal deaths/ under 5yrs deaths have decreased compared to when he was handed the presidency, then I can't blame him.....

  We are not a trillion dollar economy ..... so, skyscrapers will always affect our Education, Health and food production.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  vitu vingine vinahusiana na sera, usimamizi wa sheria na utekelezaji wa sera hizo. Kama WHO wanatuma ujumbe kuwa vifaa x,y ni vibaya katika kupima HIV na viondolewe mara moja tunatarajia wahusika wanafanya hivyo mara moja. Inapochukua miezi tena baada ya mtandao kuandika ndio serikali inaitisha kuondolewa - haisemi watu wavirudishe wapi na watafanya nini vikirudishwa - kukitotea matatizo wakati huo wote serikali itakuwa inawajibika. Kama kina mama wanajifungua katika mazingira mabaya ambapo hakuna glovu za kutosha wakati mbunge anayekaa amesinzia Bungeni hatuwezi kusema ni mapenzi ya Mungu!
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hiyo sera mbadala na watu mbadala ndio tatizo la msingi sijui wanapatikana wapi??
   
 17. S

  Seacliff Senior Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45

  Kwa hiyo Topical unachosema ni kuwa hakuna sera mbadala au watu mbadala? Are you saying that this is the best our great nation can offer, leadership wise? Nafikiri wewe mwenyewe umesharesign kuwa hakuna sera nzuri zaidi ya hii tuliyo nayo na hakuna raisi Mtanzania mwenye uwezo kama wa huyu Raisi wetu wa sasa. Issue aliyoiraise Mwanakijiji ni kuwa raisi wetu anaziona shida hizo hizo zinazowakabili waTanzania kama tunavyoziona sisi, na ndiye mwenye uwezo wa kuzitatua lakini view yake ni kwamba kuna wengine ambao wanatakiwa kuyatatua. Ni ile culture ya omba omba ambayo tumezoea kiasi kwamba kila tatizo tunalopata tunachukulia kwamba tunaye wa kumlaumu.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hiyo sera mbadala na watu mbadala ingejitokeza (manifests) hata kwenye tatizo hili..

  Madaktari wanawategemea sera za serikali na watu wa serikalini...(yaleyale)

  Kwanini wasianzishe hospitali zao binafsi (waungane) waache kuomba omba serikalini..same culture you are trying to blame
   
 19. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na wakati huo huo, kama kuna sera ambayo inanuia kuboresha afya na wabunge pamoja na mawaziri wameikubali, basi utekelezaji wake utakuwa mbovu aidha kutokana na wizi (through procurement), au upungufu wa fedha. Kama tatizo ni wizi na ufisadi, ni lazima medical officers wawajibishwe kwa sababu hivi vitu vinakuwa audited.
  Kama tatizo ni fedha, basi tuchangie kodi au tutembeze kibakuli ..... si rahisi kwa rais kumwajibisha mganga mkuu wa wilaya kama fedha hamna, na si busara kumlaumu rais kama fedha hamna....
  The best way is to either improvise or come up with a fat pocket.
   
 20. g

  gogomoka Senior Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Radhia et al,

  Kwanza naomba uangalie hizo paragraphs nilizo highlight in red. Hii opinion article inaonyesha jinsi gani JK/Mkuu wa Kaya na/au waliomuandikia makala hii walivyo na deplorable luck of leadership skills clearly exhibiting absence of credible vision, moral strength/courage and empathy.
  Ninasema hivyo kwa sababu zifuatazo:
  1. Kipindi alipokuwa mbunge, kwanza kama kiongozi alivyoona watu wanaangaika kubeba "gunia kubwa" kwenye baiskeli ilitakiwa aende na kuwapongeza wale watu kwa ujasiriamali ambao ulitakiwa kuwa wa kuigwa na wanakijiji wengine. Kwani hiyo ndio njia pekee ya maskini kujikwamua. Yeye kama mbunge wakati huo alitakiwa kutambua kuwa yule anayebeba mzigo kwa baiskeli anahitaji pikipiki ya miguu 3. Hapo basi angeweza kugundua mapema kabisa kuwa ni mama mjamzito.
  2. Poor planning and luck of priority/empathy: Inaonyesha kwa miaka mingi kumekuwa hakuna usafiri wala pesa za kununulia magari ya kupeleka wagonjwa/wamama wajawazito hospitali lakini ukifika Tanzania hasa DSM utaona 60% of SUV/4WD are government owned. Amekuwa president tokea 2005 kama kiongozi aliyeguswa na ile incident kama anavyotaka tumuamini kwanini hakutoa ambulances kwa kila Wilaya lakini mpaka 2010 kwenye kampeni JK alitoa "ahadi" ya kutoa BAJAJI/AMBULANCE ZA KUBEBEA wagonjwa na wamama wajawazito. Radhia ukiwa mjamzito utakubali kupanda Bajaji kama Ambulance?
  3. Nimeongezea yafuatayo kwa herufi kubwa kwenye sentensi hii: But we are "BY CHOICE AND GREEDY OF OUR" governments of poor countries. Hili lipo wazi kwa kila mtu kwani tumejaliwa na mwenyezi Mungu kuwa na utajiri wa kila kitu. Natumaini hili halina mjadala.
  4. PINDA tayari ameshawaamrisha na kutoa amri ya kuwafukuza hao wanaotibu 1:25,000. Kumbukeni kuwa kamwe huwezi kumlazimisha punda kunywa maji.
  5. Shortage ya madaktari haimalizwi kwa kuongeza enrolments, anauhakika gani kuwa hao medical graduates watakubali kuajiriwa na serikali inlight of its pathetic treatment/response kufuatia legitimate demands za kuboreshewa mazingira ya kazi. JK/CCM hawaamini wala hawawathamini madaktari kwani kuboresha mazingira ya hospitali na vituo vya afya hakuitaji kukumbushwa na unnecessary migomo bila ni core duty ya Wizara ya Afya.
  6. Taaluma kuheshimiwa, Uboreshaji mishahara na mazingira ya kazi ndio only viable solution to attract our best young minds to pursue science subjects whilst in O-&A- Level leading to Medicine. Hivi sasa madaktari wengi wapo kwenye NGO's za Afya kuliko mahospitalini.
  7. Kuhusu malaria: Kuprotect against Malaria alone is ineffective and will eventually prove to be a failure. Huo ni mradi wa kuchota hela kwa wenye viwanda vya chandarua. Inatakiwa Preventive and Eradication campaign ya kutokomeza Mazalia ya Mbu vikienda pamoja na protection kujikinga na automatic dwindling number ya mbu ndio zitatufikisha. Tukisema protect pekee wakati mbu wanazidi kuzaliana inamaanisha tutakuwa tunatembea ndani ya vyandarua.

  Radhia na wenzio msioona mapungufu makubwa punguzeni siasa pasipostahili kumbukeni kuwa majority ya wananchi pamoja na kunyimwa elimu kuweza kusoma na kuelewa kiingereza ipo siku watachoka. Siku hiyo ndio inaweza kuwa kama Wananchi wa Ufaransa walipowachoka French King and his royal family. Historia ni soma MUHIMU sana!

  Nakaribisha kukosolewa, kazi njema.

  Gogomoka.
   
Loading...