Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

Mungu atawalipa kwa juhudi zenu na atawalipa wale waliofanya yawe hivyo.
 
hii obituary ya Ben Saanane kwa Mawazo hii.....

kama kungekuwa na mashindano ya kuandika obituaries basi hii ya Ben ingekuwa ni miongoni mwa zile za juu bora kabisa!
 
Ben walimuua na kumzika,Ukiwa na mawazo tofauti na watawala basi wewe ni adui
 
Ben, you might not be with us physically but for sure you are with us spiritually. Mwili wako umekufa na kuzikwa lakini maneno yako yanaendelea kuishi na kuchanua...RIP Ben Saanane!
 
Nani kathibitisha yuko hai?

Mateka wa nani na kwa nini miaka mitano
Be careful, kama mkiendelea kusema amekufa, ile mindset ya kutaka apatikane itakuwa compromised kwa namna nyingi tu. It will be as if we have given up!
 
Back
Top Bottom