makala au sentesi za uchochezi

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,801
wadau naoimbeni msaada nijue haswa utajuaje sentensi au makala yauchochezi ,coz nasikia tu watu wanakamatwa kwa kutoa maneno au makala ya uchochezi,tusaidiane maana hata hii thread isije kua ya uchochezi nikatafutwa na wenye nchi yao....
 
Ukiziandika hapa hizo sentensi tayari wewe mchochezi. Kuwa makini hatutaki mtucheleweshe kujenga viwanda, wachochezi nyie
 
Hivi wanajuaje kama hilo kweli mtu anachochea kama mie wala sichochewi kabisa ata useme nini,uchochezi sijui wanaupima na nini wakubwa hawa mwee..hivi tukijipanga wananchi kwamba hatuchochewi sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom