Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
- Thread starter
- #41
sasa una lalama nini,,,,,,,,,familia ni baba mama na watoto,,,,,,wengine ni upendo tu,,,jibika si lazimiki,,,,,,,,ukiendekeza wengine wanabweteka hawajioni wanawajibu,,,wanakutazama kama the only solution,,,,,then mnabaki mnatambaa,,hanyanyuki mtu,,,,,,maisha ni vita,,acha kakio apambane,,,,,ipo kitu anapata kwa wife ,,faraja,,,baada ya kazi weye waja na madai tuuuu,,,,kizaman hicho yapo mambo ya msingi mf ,,makazi ya familia kama hamkujaliwa kuwa nayo,,,,,then,,,kama ugonjwa ameenda sana ada tena huyo mumbariki,,,unataka awasaidie akifa mapema wanawe wawe chokoraa,,,,,gundu mia ya mia:spy:
hayajakufika dats y.