Makajanja wa Bongo wameanza kutumia ujenzi wa bomba kutapeli

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,749
48,359
Ujenzi wenyewe bado upo kwenye hatua za zindua zindua lakini matapeli tayari wameanza kutangaza nafasi za ajira hadi kampuni ya Total imebidi kuingilia.
-------------------------------
Dar es Salaam. Total East Africa Midstream has cautioned the public over unscrupulous companies reportedly offering jobs in the Tanzania-Uganda pipeline project.
Work on the more than 1400Kms crude oil pipeline connecting the port of Tanga and Uganda oil fields in Hoima is expected to start soon.
Total said unsolicited firms were promising job seekers fake jobs under the mammoth East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project.
It warned that it should not be associated with the companies and individuals who have issued the fake job announcements and asked members of the public to report such people to the police.
“Our recruitment policy is clear and transparent,” it said in a statement published in The Citizen newspaper on Thursday October 25, 2018.
http://www.thecitizen.co.tz/News/To...nia-Uganda/1840340-4821928-rhgi1kz/index.html
 
aisee nliskia jamaa walikuwa wameshaamza chimba chimba zao.. maeneo ya beachi mavi kule tanga!
 
Wajinga ndio waliwao
NB:kwenye upuuzi kama huu usiiingie tz
 
Ujenzi wenyewe bado upo kwenye hatua za zindua zindua lakini matapeli tayari wameanza kutangaza nafasi za ajira hadi kampuni ya Total imebidi kuingilia.
-------------------------------
Dar es Salaam. Total East Africa Midstream has cautioned the public over unscrupulous companies reportedly offering jobs in the Tanzania-Uganda pipeline project.
Work on the more than 1400Kms crude oil pipeline connecting the port of Tanga and Uganda oil fields in Hoima is expected to start soon.
Total said unsolicited firms were promising job seekers fake jobs under the mammoth East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project.
It warned that it should not be associated with the companies and individuals who have issued the fake job announcements and asked members of the public to report such people to the police.
“Our recruitment policy is clear and transparent,” it said in a statement published in The Citizen newspaper on Thursday October 25, 2018.
http://www.thecitizen.co.tz/News/To...nia-Uganda/1840340-4821928-rhgi1kz/index.html
Must have been Geza
 
Yaani 80% of pipeline cost will be spent in Tanzania. Mind u, Kunyans need work permit to work in Tanzania. Stay away from Tanzania n Uganda affair! Mkajenge yenu Lokichar-Lamu! Si mlikataa ku-join EACOP?
Hahahahahaha I was in Uganda last week... And all they say. Hawa wajinga wa bongo wanteseka sana
 
Yaani 80% of pipeline cost will be spent in Tanzania. Mind u, Kunyans need work permit to work in Tanzania. Stay away from Tanzania n Uganda affair! Mkajenge yenu Lokichar-Lamu! Si mlikataa ku-join EACOP?
Tuta,iki,tuta, huu wimbo mtamu aisee
 
Nini inaendelea UG bradhee? Ni kama nimebaki nyuma.

Tullow na Total wamezinguana kwenye masuala ya kodi, ikabidi kila kitu kitupwe nje nje, Total akachomoa mambo ya bomba na kuamuru kila kitu kifungwe.
Hii imewapa hasira Watanzania maana kila kitu kimerudi zero ukikumbuka mbwembwe zote zile, na pia ikikumbukwa Watanzania waliachia waliwe kila kitu ilmradi tu bomba lipitie kwao.
Sasa wao wanaweza kupoteza maana Mganda amebaki na mafuta yake, sisi tukiwahisha bomba letu ataunga humo maana mwisho wa siku hii ni biashara sio pumba za undugu.
 
Geza Ulole joto la jiwe eliakeem Sky Eclat mkorinto
 
Tullow na Total wamezinguana kwenye masuala ya kodi, ikabidi kila kitu kitupwe nje nje, Total akachomoa mambo ya bomba na kuamuru kila kitu kifungwe.
Hii imewapa hasira Watanzania maana kila kitu kimerudi zero ukikumbuka mbwembwe zote zile, na pia ikikumbukwa Watanzania waliachia waliwe kila kitu ilmradi tu bomba lipitie kwao.
Sasa wao wanaweza kupoteza maana Mganda amebaki na mafuta yake, sisi tukiwahisha bomba letu ataunga humo maana mwisho wa siku hii ni biashara sio pumba za undugu.

Aha ha haaa
Those are wishful thinking.
That's according to your dreams, n not basing on international capital budgeting.
 
Back
Top Bottom