Makajanja wa Bongo wameanza kutumia ujenzi wa bomba kutapeli

MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,489
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,489 2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,727
Points
2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,727 2,000
Yaani 80% of pipeline cost will be spent in Tanzania. Mind u, Kunyans need work permit to work in Tanzania. Stay away from Tanzania n Uganda affair! Mkajenge yenu Lokichar-Lamu! Si mlikataa ku-join EACOP?
Ujenzi umefika wapi?
Lilieni kwa choo sasa. Cha kuiba hakidumu. I remember your mockery,
 
BILLY ISISWE

BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,841
Points
2,000
BILLY ISISWE

BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,841 2,000
Endelea kusali. Tanzania wakose huo mradi. Kumbuka aliyektaa ni Total. Na makao makuu ni Nairobi kwa EAC. Kumbuka M7 bado yupo hai. Kuna BP wanataka huo mradi. Warusi wanataka. Wachina pia. Alafu NI Kodi ni Uganda. Omba Mungu wakatae
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,489
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,489 2,000
Endelea kusali. Tanzania wakose huo mradi. Kumbuka aliyektaa ni Total. Na makao makuu ni Nairobi kwa EAC. Kumbuka M7 bado yupo hai. Kuna BP wanataka huo mradi. Warusi wanataka. Wachina pia. Alafu NI Kodi ni Uganda. Omba Mungu wakatae
Sina haja ya kusali maana wenyewe mna gundu, kila kitu mnaanzisha na kuangukia pua, hadi siku mtaacha mambo ya kujitafutia laana ndio mtanyooka na kuwa sawa.
Hebu ona mlichowafanyia wakulima wa korosho.
Halafu ndege zinakamatwa kisa mumedhulumu watu, japo inatia huruma maana wengi mliowadhulumu hawana uwezo huo wa kukamata ndege.
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,755
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,755 2,000
Pipeline imefika wapi?
Kenya ni oil exporter sasa! Hio Kauli ndio ilivuruga uwanja! Japo ni Kauli mkurupuko na kwa ulafi wa kutaka kula kete nyingi angalia watu watajaa king kirahisi.

Mpaka sasa mko pilot katika oil business, na mnafanya cost analysis ya transport from Lokchar to Mombasa kwa kutumia hiyo mitungi. Commercial oil business itaanza 2021. Ambapo intatakiwa kujenga pipeline from Lokchar to Lamu. So the twist ya kusema mnauza mafuta ili ku draw attention ya ku swift mambo ni kujipa hasara maradufu!

Mind you, mafuta yanauzwa ila bado ni pilot bases hence no income. Hivyo mpaka mje kumaliza hiyo pipeline ndio muanze kuuza kibiashara hapo 2021 tayari mtakuwa mmeshaliwa Sana. Na baada ya pipe kukamilika umeshajiuliza hiyo mitungi ya magari mtapeleka wapi?
 
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
4,780
Points
2,000
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
4,780 2,000

Nimeuliza Pipeline ya Uganda imefika wapi, mbona waniletea hekaya za mafuta ya Kenya boss? 😂 😂 😂
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,755
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,755 2,000
Nimeuliza Pipeline ya Uganda imefika wapi, mbona waniletea hekaya za mafuta ya Kenya boss?
Nyang'au kweli wewe! Sasa bomba la UG na Tz linakuhusu nini? Nakwambia mafuta ya Kenya maana ndio yanakuhusu.
 
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
4,780
Points
2,000
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
4,780 2,000
Nyang'au kweli wewe! Sasa bomba la UG na Tz linakuhusu nini? Nakwambia mafuta ya Kenya maana ndio yanakuhusu.
Wewe bongolala mafuta ya Kenya yanakuhusu nini? Nakwambia kuhusu bomba la Uganda na Tanzania maana ndio linakuhusu.
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,755
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,755 2,000
Wewe bongolala mafuta ya Kenya yanakuhusu nini? Nakwambia kuhusu bomba la Uganda na Tanzania maana ndio linakuhusu.
Bomba ni dual carriageway pipeline. Moja inapeleka gas Uganda na nyingine inatoa mafuta Uganda to Tanga. So stop that nonsense question.

Ile mitungi ishapeleka #baro# ngapi za mafuta Mombasa? Maana hata mkitumia SGR for freight bado ni hasara tu. Hadi muanze feasibility study ya pipeline from Lokchar to lamu tayari koki zitakuwa zinatoa gas Uganda. So the race continue.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
807
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
807 500
Miradi gan tuliyoanzisha ika fail mkuu???
Embu itaje.
Sina haja ya kusali maana wenyewe mna gundu, kila kitu mnaanzisha na kuangukia pua, hadi siku mtaacha mambo ya kujitafutia laana ndio mtanyooka na kuwa sawa.
Hebu ona mlichowafanyia wakulima wa korosho.
Halafu ndege zinakamatwa kisa mumedhulumu watu, japo inatia huruma maana wengi mliowadhulumu hawana uwezo huo wa kukamata ndege.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,489
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,489 2,000
Miradi gan tuliyoanzisha ika fail mkuu???
Embu itaje.
Naona umeamka...
Anzeni kwa kuwalipa hawa, maana hawana uwezo wa kukamata ndege kama yule wa Afrika Kusini, hivyo mkiwadhulumu wanaisha kulia na kulaani.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
807
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
807 500
Situmii FB mob.
Ila hii inaonekana ni kuhusu koroshow.
Koroshow watu washalipwa wanajiandaa na msimu ujao ndio maana huwasikii kulalamika.
Na serikali ishasema hawatahusika na ununuzi msimu ujao ila watasimamia uuzaji ili wakulima wa koroshow wanufaike.
Una lingine mob?!!!!

Hiyo ni video ya mkuu wa wilaya anawaomba wakulima Watanzania wavute subira ipo siku watalipwa.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
807
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
807 500
Hehehe umeanza yale mambo ya kujitoa ufahamu, angalia tarehe ya video uone wakulima bado wanateseka hawajalipwa.
Hahahaah acha zako mon Situmii FB we taja tarehe.
Maana toka August inaingia hakuna malalamiko ya wakulima.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,489
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,489 2,000
Hahahaah acha zako mon Situmii FB we taja tarehe.
Maana toka August inaingia hakuna malalamiko ya wakulima.
Unajificha kwenye kete ya FB, nina uhakika umeitaza hiyo video na kuona ni taarifa za Agosti, wakulima wanateseka sana hadi leo mumegoma kuwalipa.
Haya kama unajificha kwenye mgongo wa FB, icheck hii ya Youtube ama nayo huwa hautumii
Taarifa za juzi tu, bilioni 105 jameni yaani mna roho ngumu...

Forum statistics

Threads 1,335,150
Members 512,245
Posts 32,497,085
Top