Makahaba wa kichina washamiri kwa biashara ya ufuska in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makahaba wa kichina washamiri kwa biashara ya ufuska in Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 23, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  [​IMG]  MAKAHABA WA KICHINA


  Wachina washamiri kwa biashara ya ufuska!!
  [​IMG]


  Na Waandishi Wetu
  WIMBI la akina dada raia wa China wanaofanya biashara haramu ya kukodisha miili yao ‘machangudoa’ lililotulia kwa muda, sasa limeibuka upya na kwa kasi ya ajabu, Risasi Mchanganyiko lina makabrasha yote.
  Habari za kuaminika zilizotua mezani mwa gazeti hili kutoka katika chanzo chetu makini zinatonya uwepo wa biashara hiyo ufukweni mwa bahari ya Hindi na katika mahoteli makubwa ya jijini Dar es Salaam.  [​IMG]


  Najua mliwahi kuandika, lakini wamesharudi, kwa macho yangu nimewaona (anataja jina la hoteli) wakipiga mzigo kama kawaida.
  “Yaani wapo wengi sana , ukitaka kuamini nenda (anataja jina la fukwe) uone uchafu wao,” kilisema chanzo hicho ambacho kiliomba hifadhi ya jina lake.
  Dawati la Risasi Mchanganyiko lilipokea kwa mikono miwili tuhuma hizo na kama kawaida, ikaundwa timu ambayo ilivinjari katika maeneo yote yaliyotajwa na chanzo chetu na kubaini ukweli wa uchafu unaofanywa na makahaba hao wa Kichina.
  Kwa kutumia mtego wa kujifanya wateja, waandishi wetu waligundua kuwa, machangudoa hao wanatoa huduma ya ngono ya chapchap kwa kiwango cha shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa ufukweni na 50,000 hadi 60,000 hotelini.
  [​IMG]  Akiongea na Risasi Mchanganyiko kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini , mhudumu wa hoteli moja kubwa jijini Dar ambayo baadhi ya machangu wamepanga hapo, alisema hafurahishwi na uchafu unaofanywa na Wachina hao.
  “Mimi inaniuma sana kuona hawa Wachina wanakuja kuharibu nchi yetu. Huu ni uwekezaji gani? Sisi wenyewe ukahaba tunaupiga vita, wao wageni ni akina nani?” Alis ema kwa mtindo wa kuhoji.
  Alipoulizwa ni kwa nini wanaruhusu ku fanyika kwa biashara hiyo hotelini kwao, alijibu:
  “Unajua si kwamba wana danguro hapa, hapana. Wanaishi wanne katika vyumba tofauti, lakini kuna wakati wanaume wanakuja kuwachukua au kulala nao vyumbani.
  “Sasa huwezi kuingilia mambo binafsi ya mteja. Kwa kuwa wamepanga hapa, wana uhuru wao. Ila mimi kama mtu mzima nafahamu kinachofanyika, hasa kwa jinsi wanaume wanavyopishana,” alisema
  .
  Ismail Tidego mkazi wa Sinza ya Mori, Dar, alipozungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum alisema yeye anapeleka lawama kwa serikali kupitia Idara ya Uhamiaji, maana wao ndiyo wanaotoa vibali vya Wachina hao kuingia nchini.

  [​IMG]
  Mimi nalia na Idara ya Uhamiaji, kwani huwa hawafuatilii kujua wanaingia kufanya kazi gani? Kwa nini tunajidhalilisha kiasi hiki? Yaani nchi yetu inawekezwa hadi katika biashara ya uchangudoa? Inatia uchungu sana ,” alisema Tidego.
  Awali machangudoa hao waliingia matatani baada ya uchunguzi wa muda mrefu kufanywa na gazeti damu moja na hili la Ijumaa na kuwanasa kwa kushirikiana na askari wa Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Saalam.
  Baada ya kukamatwa wakifanya biashara hiyo haramu huku wakitumia kivuli cha ‘business’ ya huduma ya ‘massage’, walizolewa hadi katika Kituo cha Polisi Oysterbay na kufunguliwa shauri lao.
  Upepo ukiwa umetulia, hivi sasa wamerudi na wanaendelea kufanya biashara kama kawaida tena wakiwa wametanua wigo tofauti na awali ambapo walikuwa na vituo vichache.


  [​IMG]


  Kutoka kwa mhariri;
  Hivi karibuni, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu aliwahi kutamka kuwa, serikali inatoa muda kwa Wachina waliopo nchini wakifanya shughuli za umachinga kuondoka mara moja.
  Akasema wanaotakiwa kubaki ni wale waliowekeza katika biashara kubwa, lakini sasa inashangaza hata makahaba wapo, biashara kubwa ni zipi? Au hawakuondoka licha ya muda uliotolewa na serikali kumalizika?   

  Attached Files:

 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,273
  Likes Received: 19,416
  Trophy Points: 280
  who to blame guys?
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wazee wa mafeki wataimaliza Africa ktk kila aina ya wizi
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Hotel ipi hiyo Tuwekeeni na sie tulaiwaonje kabla hawajatimuliwa Dah! Sijui Wana radha ya Kifake fake!!!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hivi kwao hiyo biashara imehalalishwa??
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Wateja wa hiyo biashara! Si biashara kama hakuna mnunuaji!
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Nafikiri utamu waja kwa ajili ya lugha gongana; imagine binti analalamika kichina!!!!!! Must be a turn on to some of u guys!
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wachina sio wazuri kiasi cha kutupora waume zetu so it is not a big issue to me
   
 9. O

  Ome Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Biashara huria jamani, au customer wamekimbilia bidhaa za kichina na kuacha za wazawa. mh lol kazi kwelikweli. waTz wenyewe huko uchina wanajiu......!..
   
 10. a

  allydou JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  kama ni uchangudoa, mbona wapo wengi tu, ukipita maeneo ya maeda bar mida ya saa mbili utakuta mabinti wengi barabarani, au kwa sababu hawa ni wachina nddio mnachonga.
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Kweli kabisa hata mimi nakuunga mkono...sioni cha kunivutia kwa demu wa kichina mpaka nimhangaikie na kumuhonga 60,000. Kwanza ni wabaridi, hawana mvuto hata maumbo yao majority wana miili ka amidori (flat at the back). Sasa huyo anayetoka jasho kwa kahaba wa kichina nadhani hana kazi ya kufanya.....:A S 103::A S 103:
   
 12. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,661
  Trophy Points: 280
  kwao pia hakukaliki kiaina, nadhani ndio maana wanakuja huku, hata hivyo biashara hii imeshamiri kweli kweli karibu kila eneo, kuna maeneo mengine yanamilikiwa na wakubwa huko hamna noma, ila wa mitaani wanafurumshwa kila siku, pia kuna makundi ya watu wanaodai, hawa makahaba pia ni watu na watu wana njia mbalimbali za kujipatia kipato, wengine hawana elimu yoyote, na pia jamii imebadilika ina mahitaji mengi,na wapo kwa ajili ya jamii
   
 13. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,661
  Trophy Points: 280
  kwao
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 14. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona vielelezo vyote hivi ni kwao....vikowapi vya Tanzania?
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 16. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mzizimkavu, nimeangalia hizo picha nikakumbuka kwamba hii habari ni ya mwaka juzi, huwa sisomi udaku lakini ilinibidi kufuatilia baada ya kushtushwa kwamba na wachina nao wanauza naniu, nakumbuka na eneo lililoandikwa lilikuwa Sinza, kama Shigongo kairudia tena hii habari basi atakuwa na kisa na hao wachina.
   
 17. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana kaunga,sipati picha hayo makelele waaaaaaaaang chiiiiiiiinggggggg taaaaaaaan hahaahahahahahahahahhah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...you made my day.....
   
 18. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ukienda kujaribu demu mchina utarudi tena na tena...hawa Cha Ching sio mchezo bana, nilikuwa mteja wao huko nyuma kabla sijaanza serious dating. Msijaribu kabisa jamani mtavunja ndoa zenu. Cha ching na sarakasi zao ni balaa. Nashukuru nimeweza kutorudi huko tena
   
 19. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawa ni wawekezaji mkuu ndo maana ukiingia kwenye anga zao wanaku-treat kama mteja kwelikweli!!!!
   
 20. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  basi kama ni wawekezaji huo uwekzaji wao ni kiboko. Nimekubali
   
Loading...