Makadirio 2010: Gharama zitakonazo na foleni za magari Dar 4Bilioni kwa siku

selemala

JF-Expert Member
Feb 14, 2007
370
253
Kutokana na Makadirio yaliyofanywa na DART mwaka 2010, Dar inapoteza bilioni 4 kwa siku kama gharama za mafuata yanoyapotea bure katika foleni, kupungua kwa ufanisi wa kazi na shughuli nyingine zinazo athirika kutoka na foleni jijini. Kwa mwaka inakuwa kama trilioni 1.4.

source: http://www.thecitizen.co.tz/News/-/1840340/3160396/-/kseyw5/-/index.html

my take:
Kwa makadirio haya, hakika serikali inasababu za msingi zakutosha za kufanya uwekezaji wa kutosha ili kupunguza kwa kiwango kikubwa foleni Dar na hata mikoani.
 
Tatizo kilakitu ni Dar wakati kuna empty spaces maeneo mengine nchini, na bado wanazidi kuongeza taasisi, vyuo, kumbi, n.k kuatract jam zaidi.
 
Halafu kuna watu wanahoji JPM ku-divert fedha za sherehe kwenda kupanua barabara bila kibali cha bunge. Iwe mwisho, bunge take care. JPM yu sahihi na anatenda kwa akili sana. Jifunzeni kwake matumizi sahihi ya fedha za umma. Ok?
 
Tatizo kilakitu ni Dar wakati kuna empty spaces maeneo mengine nchini, na bado wanazidi kuongeza taasisi, vyuo, kumbi, n.k kuatract jam zaidi.

Kama watu wangekuwa na uelewa na ufahamu wa aina hii haya yote yasingetokea.
Kila ofisi ya taasisi na idara za serikali na binafsi zote Dar tena City centre.

Asubuhi watu wengi wanaelekea eneo moja
 
Back
Top Bottom