Makada wenzangu kindakindaki wa CCM tusinune, tuheshimu uamuzi wa Rais na Mwenyekiti wetu katika teuzi zake

Tangu Jumamosi niliporejea Dar es Salaam nikitokea mkoani Iringa, nimekuwa nikipokea simu za makada kindakindaki wenzangu wa CCM za kunilalamikia kana kwamba nina mkono wangu katika teuzi zilizofanywa kwa ujuzi za juzi. Teuzi za Makatibu Wakuu wa Wizara; Makatibu Tawala wa Mikoa; Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

Makada wamefikia hatua ya kunisema kwa kuhema kuwa nilikuwa Iringa kumng'oa dada yangu Masenza. Ukweli ni kuwa dada Masenza amestaafu na mwanangu Hapi anakwenda kumpokea kijiti akiwa fiti kutokea jijini Dar es Salaam, wilayani Kinondoni. Makada wanalalamika na kununa kuwa wao hawaonekani. Wanaonekana wale 'wapya' chamani au watumiaji wa mitandao na vuombo vya habari vinginevyo.

Makada wananung'unika na kuhuzunika. Wanakumbuka mbali. Wananisimulia walivyojiunga na CCM kupitia UVCCM na kukulia humo. Wakakitetea chama na kukipigania. Kampenini, wakakinadi bila kusita kwa nguvu zao zote hadi ushindi ukapatikana. Ingawa wanakwepa kuniambia, najua kuwa walitegemea kuwa baada ya uchaguzi 'wangefutwa jasho' hata kama ingekuwa kwa muda mfupi.

Makada wenzangu, hakika, wanaonekana kuguswa na 'kuanza kununa'. Nawasihi makada wenzangu wote kindakindaki wa CCM ambao bado 'hamjafutwa jasho' muheshimu maamuzi ya Rais na Mwenyekiti wetu wa Taifa, Daktari John Pombe Magufuli. Tumuunge mkono Zaidi na Zaidi. Tumpe nguvu na kumuombea. Hakuna haja ya kununa. Hakuna haja ya kujisikia vibaya. Hakuna haja ya kurudi nyuma kwenye harakati za kichama.

CCM hoyeeeeeeeeeeeee!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee Tupatupa kama binadamu mengine yanauma.Hivi Jokate awe boss wa Mkurugenzi na DAS kweli,mh,hapana,hii haijakaa vizuri.
 
CCM haina mbinu mbadala kwa sasa,Watanzania wengi wameishaishtukia wamekalia porojo tu, Mara upinzani unakufa huku wanachukua wapinzani hao hao na kuwapa nyadhifa mbali mbali.

CCM jiagalieni , huyu Polepole na mbinu zake za kununua wapinzani hawezi kuwavusha .

Watanzania tuna changamoto nyingi zifanyieni kazi,hakuna MTU anataka kuskia porojo zenu miaka nenda rudi hakuna jipya.
Polepole ndio think tank wao unafikiri utapata nini
Hizi mbinu nazifananisha na mtu mroho anayedokoa mboga jikoni
 
Akina jingalao, lemutuz, cocochanel, impotep, mudawote lizaboni wao wanapiga matarumbeta tu
labda waje na ID zao halisi, sasa utampaje cheo mtu asiyejulikana. Kuna jamaa wanakomaa na michango yao inamantiki na inaonekana wana depth kidogo kama Jingalao wangeshakwaa nafasi kama hawana bado.
 
Wavumilie tu, kwa mila zetu za kiafrika wageni ndio huwa wanachinjiwa kuku siyo wenyeji, nadhani hata hao makada kindakindaki wataelewa tu.
 
Kwa upande mwingine pia CCM wanajua Kuwa upinzani kuna watu wazuri na wasomi sana zaidi ya walio ndani ya CCM ndiyo maana inatumia hela nyingi kuwanunua wakijua kabisa kuna wengine wananjaa watahongeka tuu naamini kabisa CCM inatamani kuwanunua watu kama wakina Mbowe, Mdee, Lisu,Lema n.k.
 
Tangu Jumamosi niliporejea Dar es Salaam nikitokea mkoani Iringa, nimekuwa nikipokea simu za makada kindakindaki wenzangu wa CCM za kunilalamikia kana kwamba nina mkono wangu katika teuzi zilizofanywa kwa ujuzi za juzi. Teuzi za Makatibu Wakuu wa Wizara; Makatibu Tawala wa Mikoa; Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

Makada wamefikia hatua ya kunisema kwa kuhema kuwa nilikuwa Iringa kumng'oa dada yangu Masenza. Ukweli ni kuwa dada Masenza amestaafu na mwanangu Hapi anakwenda kumpokea kijiti akiwa fiti kutokea jijini Dar es Salaam, wilayani Kinondoni. Makada wanalalamika na kununa kuwa wao hawaonekani. Wanaonekana wale 'wapya' chamani au watumiaji wa mitandao na vuombo vya habari vinginevyo.

Makada wananung'unika na kuhuzunika. Wanakumbuka mbali. Wananisimulia walivyojiunga na CCM kupitia UVCCM na kukulia humo. Wakakitetea chama na kukipigania. Kampenini, wakakinadi bila kusita kwa nguvu zao zote hadi ushindi ukapatikana. Ingawa wanakwepa kuniambia, najua kuwa walitegemea kuwa baada ya uchaguzi 'wangefutwa jasho' hata kama ingekuwa kwa muda mfupi.

Makada wenzangu, hakika, wanaonekana kuguswa na 'kuanza kununa'. Nawasihi makada wenzangu wote kindakindaki wa CCM ambao bado 'hamjafutwa jasho' muheshimu maamuzi ya Rais na Mwenyekiti wetu wa Taifa, Daktari John Pombe Magufuli. Tumuunge mkono Zaidi na Zaidi. Tumpe nguvu na kumuombea. Hakuna haja ya kununa. Hakuna haja ya kujisikia vibaya. Hakuna haja ya kurudi nyuma kwenye harakati za kichama.

CCM hoyeeeeeeeeeeeee!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kama hao makada kindakindaki ni kama wewe, mnastahili kuwekwa benchi. Watu kama wewe ni moles, hivyo mnahitaji kuwekwa benchi kabisa na ikiwezekana mfukuzwe.
 
Tangu Jumamosi niliporejea Dar es Salaam nikitokea mkoani Iringa, nimekuwa nikipokea simu za makada kindakindaki wenzangu wa CCM za kunilalamikia kana kwamba nina mkono wangu katika teuzi zilizofanywa kwa ujuzi za juzi. Teuzi za Makatibu Wakuu wa Wizara; Makatibu Tawala wa Mikoa; Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

Makada wamefikia hatua ya kunisema kwa kuhema kuwa nilikuwa Iringa kumng'oa dada yangu Masenza. Ukweli ni kuwa dada Masenza amestaafu na mwanangu Hapi anakwenda kumpokea kijiti akiwa fiti kutokea jijini Dar es Salaam, wilayani Kinondoni. Makada wanalalamika na kununa kuwa wao hawaonekani. Wanaonekana wale 'wapya' chamani au watumiaji wa mitandao na vuombo vya habari vinginevyo.

Makada wananung'unika na kuhuzunika. Wanakumbuka mbali. Wananisimulia walivyojiunga na CCM kupitia UVCCM na kukulia humo. Wakakitetea chama na kukipigania. Kampenini, wakakinadi bila kusita kwa nguvu zao zote hadi ushindi ukapatikana. Ingawa wanakwepa kuniambia, najua kuwa walitegemea kuwa baada ya uchaguzi 'wangefutwa jasho' hata kama ingekuwa kwa muda mfupi.

Makada wenzangu, hakika, wanaonekana kuguswa na 'kuanza kununa'. Nawasihi makada wenzangu wote kindakindaki wa CCM ambao bado 'hamjafutwa jasho' muheshimu maamuzi ya Rais na Mwenyekiti wetu wa Taifa, Daktari John Pombe Magufuli. Tumuunge mkono Zaidi na Zaidi. Tumpe nguvu na kumuombea. Hakuna haja ya kununa. Hakuna haja ya kujisikia vibaya. Hakuna haja ya kurudi nyuma kwenye harakati za kichama.

CCM hoyeeeeeeeeeeeee!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hivi wewe siyo Mwita nyaronyo kicheere?.
 
Ha ha haaaaaaaaa

Ningekuwa wa Lumumba ungeshanitambua huko mitaani kwa kuwanyoosha na utendaji mzuri.. eeeh

Mimi niko kivyangu humu JF.. mimi na nyie humu humu.. siku hizi nawaona mmehishiwa porojo zenu kwa sana.. mnalialia tu kwa kuwa na viongozi wanafuja tu pesa
Una maanisha magufuli anafuja pesa?
 
Mpak nawaza kustafu sisa huyu rais amenisahauje jamani ngoja nibuni kiki mpyaaaa ,namtafuta mbowe napiga kofi kwenye press conf ,watoto wazur watanikoma
 
Back
Top Bottom