Makada wenzangu kindakindaki wa CCM tusinune, tuheshimu uamuzi wa Rais na Mwenyekiti wetu katika teuzi zake

Hao makada wa ccm wanaonuna ni wajinga, kwani chama chao sasa hivi kinapata kura kwa kutegemea ushawishi wao kwa wananchi? ccm sasa hivi inashinda kwa amri ya mwenyekiti wao kupitia kofia yake ya urais. Hivyo wacha wapewe vyeo wale wanaomsumbua. Mwana mpotevu ndiye aliyechinjiwa ng' ombe aliyenona.
 
Kama wale mliowaita nyumbu ndio wanaaminiwa na kupewa nyazifa kubwa na mkuu, tafsiri yake ni kwamba huenda upande wenu kumejaa kenge mkuu akaona afadhari ya nyumbu kuliko kenge. najaribu kuwaza tu.
 
Ha ha haaaaaaaaa

Ningekuwa wa Lumumba ungeshanitambua huko mitaani kwa kuwanyoosha na utendaji mzuri.. eeeh

Mimi niko kivyangu humu JF.. mimi na nyie humu humu.. siku hizi nawaona mmehishiwa porojo zenu kwa sana.. mnalialia tu kwa kuwa na viongozi wanafuja tu pesa
Tatizo ulikimbia umande
Ungejitahidi angalau kufika form 4 leo ungekuwa hata dc.

We wenzako walikuwa wakijipinda kusoma we kazi yako kukaa benchi la mwisho darasani kusutana.
 
Tatizo ulikimbia umande
Ungejitahidi angalau kufika form 4 leo ungekuwa hata dc.

We wenzako walikuwa wakijipinda kusoma we kazi yako kukaa benchi la mwisho darasani kusutana.


Duh
Huyo uliyemwandika ni unajieleza ulikuwaje.. kituko.. maana ni bonge la kujikimbushia hadi kufikiri na mimi kama wewe eeeeeeh

Lia jipige vibao vya usoni pia
 
Back
Top Bottom