Makada wenzangu hebu tupate chemba kidogo tutete

MWONA MBALI

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
460
610
Nasema naitamani chemba, tena chemba isiyo na vibaraka, chemba ninayo itaka ni ya wenzangu vindakindaki, chemba isiyo na watu waoga wanapigia makofi kila kitu mradi mkono uende kinywani, chemba ni nayo itaka ni chemba ya wafia chama, najua wapo wengi, chemba ninayo itaka isiwe na kikao cha kutangaza kwa waandishi yatokanayo, chemba ya KUJITATHMINI, chemba itakayo tathmini mambo bila woga, chemba itayo peleka maazimio na ushauri kwa walio waoga na anae ogopwa, chemba itayosema ukweli wa kila jambo lilivyo mtaani, chemba itayo muweka juu tulie mtuma, chemba itayo mstua kuwa waliomzunguuka sio wakweli na wazandiki, chemba itakayo okoa chama. UGUMU WA CHEMBA HII JE TUTAFIKA MWISHO WA MAJADILIANO? HAKUTA KUWA NA MAMLUKI WA PANDE ZOTE MBILI? NACHOKA SANA.
 
Back
Top Bottom