Makada wa Chadema wazidi kujitokeza kuwania kumrithi Lema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,887
32,284
Wanabodi.

Makada wawili wa Chadema Wiliyani Arusha wameweka bayana nia yao kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha kutaka kumrithi Godbless Lema aliyevuliwa ubunge huo na Mahakama.

Wakati Lema akiangaika na maandamano Arusha, Wananchama hao Brighton Mushi na Victor Njau watafanya hivyo endapo rufaa iliyowasilishwa mahakamani na chama hicho kutupiliwa mbali.

Uamuzi wa makada hao unafanya idadi ya wananchama wa Chadema walioonyesha ni ya kumrithi Lema kufikia saba.

1. Efatha Nanyaro
2. Calist Lazaro
3. Derick Magoma
4. Albert Msando
5. Victor Njau
6. Samson Mwigamba
7. Brighton Mushi

Mkurugenzi wa Horizon Group Mushi, alisema msimamo wangu uko pale pale haujabadilika wa kugombea ubunge.

Source: Jamaa zangu wa Chadema Arusha.
 
Mkuu ritz unashangaa kuwa wanajitokeza? CDM wanakuambia kwa Arusha CDM hata ikiweka jiwe litachaguliwa! Kwa hiyo kila mtu ana haki na anadhani akigombea atashinda tu kwa kuwa si jiwe!
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi.

Makada wawili wa Chadema Wiliyani Arusha wameweka bayana nia yao kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha kutaka kumrithi Godbless Lema aliyevuliwa ubunge huo na Mahakama.

Wakati Lema akiangaika na maandamano Arusha, Wananchama hao Brighton Mushi na Victor Njau watafanya hivyo endapo rufaa iliyowasilishwa mahakamani na chama hicho kutupiliwa mbali.

Uamuzi wa makada hao unafanya idadi ya wananchama wa Chadema walioonyesha ni ya kumrithi Lema kufikia saba.

1. Efatha Nanyaro
2. Calist Lazaro
3. Derick Magoma
4. Albert Msando
5. Victor Njau
6. Samson Mwigamba
7. Brighton Mushi

Mkurugenzi wa Horizon Group Mushi, alisema msimamo wangu uko pale pale haujabadilika wa kugombea ubunge.

Source: Jamaa zangu wa Chadema Arusha.

Najaribu kuangalia habari, aliyeileta na source. Mashaka yanazidi imani!
 
Wanabodi.

Makada wawili wa Chadema Wiliyani Arusha wameweka bayana nia yao kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha kutaka kumrithi Godbless Lema aliyevuliwa ubunge huo na Mahakama.

Wakati Lema akiangaika na maandamano Arusha, Wananchama hao Brighton Mushi na Victor Njau watafanya hivyo endapo rufaa iliyowasilishwa mahakamani na chama hicho kutupiliwa mbali.

Uamuzi wa makada hao unafanya idadi ya wananchama wa Chadema walioonyesha ni ya kumrithi Lema kufikia saba.

1. Efatha Nanyaro
2. Calist Lazaro
3. Derick Magoma
4. Albert Msando
5. Victor Njau
6. Samson Mwigamba
7. Brighton Mushi

Mkurugenzi wa Horizon Group Mushi, alisema msimamo wangu uko pale pale haujabadilika wa kugombea ubunge.

Source: Jamaa zangu wa Chadema Arusha.

Yeyote poa tuu mradi anawakilisha CDM!!
Asante kwa taarifa zako mkuu,
tafuta na zingine zingine za wanovua gamba
maana ndizo zinatupa raha kuzisikia mara kwa mara.!!
karibu Ngurdoto mkuu ritz
 
Mkuu ritz Mbona tokea jana unang'ang'nia kuanzisha vithread ambavyo havina nguvu juu ya CDM mara Nassari na Shibuda mimi nilikuwa nikiangalia hilo avatar lako la zombie nilikuwa naona wewe ni jasiri kumbe huna lolote. Vipi leo mtaenda Arumeru kuua au Leo ni siku ya kuchoma makanisa?
 
Vizuri sana vijana munangoja kwanza maamuzi ya mahakama ,inapendeza kwamba vijana wengi mumejitokeza Kama ritz alidhani hii taarifa yake itawachengua wana chadema ashindwe na alegee kwa sababu habari inafariji
 
Nasikia Rziwani Kikwete anahusika kumng'oa Nchunga Yanga!

Nasikia pia kijana ana assume uana siasa katika kila jambo!

Nasikia pia ni mmiliki wa City Sports Lounge akimtumia Juma Pinto kama stamp!

Ni kweli??
 
Poa tu kamanda, hao wote ni makamanda wetu wote wana sifa zao,iwapo kutakuwa na uchaguzi wapo wengi tu,lakini ni utaratibu wa chama cheyu utafuatwa,hivi sasa ni maneno tu......kamanda lema endelea kujenga chama nje ya arusha
 
Badala ya kumsaidia Lema kwenye kipindi hiki kigumu kulipa gharama za uchaguzi Milioni 400 wenzake wanawaza ubunge tu.
 
Asante kwa taarifa hiyo nzuri, sasa tunaomba list ya makada wa ccm ambao tayari washatangaza nia......
 
Albert Msando ni jamaa yangu, zaidi ya kuwa diwani wa Moshi (V) hana nia ya kugombea ubunge. Namfahamu vizuri sana huyo jamaa.
 
Asante kwa taarifa hiyo nzuri, sasa tunaomba list ya makada wa ccm ambao tayari washatangaza nia......

Hapo umemlenga kny ..........sawia kabisa.
yeye badala ya kulinda nyumba yake yateketea, anakwenda kuchingulia kwa jirani....ambako kuko shwari!
hivyo tumwite mleta habari ni ......wivu wamsimbua tena ni umbeya tuuu! ndo maana anaishobokea CDM.
 
Sio ishu sana hao kujitokeza kwani hata mimi nafikiria kumsimamisha mbwa wangu kwa tiketi ya cdm na naamini atashinda bila zengwe hata uchaguzi ufanyike usikunwa giza
 
RITZ,

Ya NAPE na CCM yako yamekushinda, sa hizi umeamua kuwa mfatiliaji ya yanayoendelea CDM badala ya kumsaidia Rais wako JK kutimia ahadi za 2010??!!!
 
Kwa hiyo Ritz hapa issue ni nini?zingatia wapiga kura wa Arusha walikuambia hata likiwekwa jiwe kuwakilisha CDM wao watalipigia kura jiwe,sasa hapo cha kushangaza ni nini?au hoja yako ni kutuarifu?hata hivyo lini umekuwa msemaji wa chadema hata kwenye ngazi ya msingi?ulichokitarajia wakati una post hii thread huwezi kukipata my friend,haya mambo yaimarisheni huko kwenu nyinyiemu.sisi tuna makamanda.

Na for sure target yako ulidhani watu watahamaki au wataku-attack mwisho wa siku tunakushukuru kwa kutujuza japo hatuchukulii maanani kwani wewe si masemaji wa CDM.umedhihirika kuwa na nia fulani mbaya pale uliposema Lema anahangaika na maandamano wenzie wanajiandaa kwa uchaguzi na hili ndio limepelekea chama chenu cha magamba kinaanguka dakika kwa dakika,maana mnawaza kujiandaa na uchaguzi tu kiasi kwamba hakuna muda wa kufanya shughuli za maendeleo.Lema sasa anafanya shughuli kubwa ya kitaifa,hii campaign ya M4C sio ya mkoa,ni ya nchi nzima na ndicho anachokifanya Lema.
Tell will tell
 
Back
Top Bottom