Makada wa Chadema wazidi kujitokeza kuwania kumrithi Lema

Hakuna akina sisi!!!! Kweli CDM na kanisa ni damudamu!!!!!!

Wanabodi.

Makada wawili wa Chadema Wiliyani Arusha wameweka bayana nia yao kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha kutaka kumrithi Godbless Lema aliyevuliwa ubunge huo na Mahakama.

Wakati Lema akiangaika na maandamano Arusha, Wananchama hao Brighton Mushi na Victor Njau watafanya hivyo endapo rufaa iliyowasilishwa mahakamani na chama hicho kutupiliwa mbali.

Uamuzi wa makada hao unafanya idadi ya wananchama wa Chadema walioonyesha ni ya kumrithi Lema kufikia saba.

1. Efatha Nanyaro
2. Calist Lazaro
3. Derick Magoma
4. Albert Msando
5. Victor Njau
6. Samson Mwigamba
7. Brighton Mushi

Mkurugenzi wa Horizon Group Mushi, alisema msimamo wangu uko pale pale haujabadilika wa kugombea ubunge.

Source: Jamaa zangu wa Chadema Arusha.
 
Ritz, ahsante sana kwa taarifa mkuu maana sisi hapa peoples power kuna uwanda mpana wa demokrasia so hata ww pia unaruhusiwa kuvua gamba kwanza na kuvaa gwanda then ugombee na demokrasia ya iwazi ndiuo itakayaoamua ni nan anastahili kushika hiyo nafasi.
 
Wanabodi.

Makada wawili wa Chadema Wiliyani Arusha wameweka bayana nia yao kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha kutaka kumrithi Godbless Lema aliyevuliwa ubunge huo na Mahakama.

Wakati Lema akiangaika na maandamano Arusha, Wananchama hao Brighton Mushi na Victor Njau watafanya hivyo endapo rufaa iliyowasilishwa mahakamani na chama hicho kutupiliwa mbali.

Uamuzi wa makada hao unafanya idadi ya wananchama wa Chadema walioonyesha ni ya kumrithi Lema kufikia saba.

1. Efatha Nanyaro
2. Calist Lazaro
3. Derick Magoma
4. Albert Msando
5. Victor Njau
6. Samson Mwigamba
7. Brighton Mushi

Mkurugenzi wa Horizon Group Mushi, alisema msimamo wangu uko pale pale haujabadilika wa kugombea ubunge.

Source: Jamaa zangu wa Chadema Arusha.

Hilo linatakiwa kuwa jambo la hamasa, ndiyo maana ya demokrasia. Kila mtanzania ana haki ya kupiga na kupigiwa kura.
 
Nasikia Rziwani Kikwete anahusika kumng'oa Nchunga Yanga!

Nasikia pia kijana ana assume uana siasa katika kila jambo!

Nasikia pia ni mmiliki wa City Sports Lounge akimtumia Juma Pinto kama stamp!

Ni kweli??

Subiri matusi ndo utajua kubadirisha thread ni kitu mbaya !!
 
Mungi,
Nashangaa wewe mfuasi wa Chadema lakini hujui hii habari ya chama chako fanya upelelezi wako au kama unaongea na Njau au Mushi waulize kuhusu kugombea ubunge Arusha kupitia Chadema.

Hapo upelelezi wa nini kwani hii ni ishu nayo? Hata mimi nitachukua fomu kugombea kama kamanda Lema itashindikana ila naamini hawezi kushindwa.
 
Back
Top Bottom