Wafuatao ni makada wa CCM ambao wameonja joto ya jiwe ya kuzomewa na wanainchi katika mikutano ya hadhara wanayoiitisha kufikia leo saa nane mchana ni hawa hapa
- Mh. Chacha Maliam Nyang`wine - Mbunge wa Tarime alizomewa akatupiwa na masale ya CCM na gari likapigwa wakavunja vioo akakimbia mkutano
- Mh. Steven Wassira -Mbunge na waziri alizomewa kwao bunda mkutano ukaisha akatukana na matusi, aliwatukana wapiga kura wake.
- Mh Ole Medeye mbunge na waziri alizomewa kata ya daraja mbili hadi lengo aliloendea pale yaani kumfanyia kampeni diwani wa CCM halikutimia.
- Mh Hawa GHASIA -Mbunge na waziri alizomewa kwao mtwara kwenye uwanja wa sokoni pale anapouzia kahawa Hassani akachanganyikiwa hadi akasema wapiga kura wangu wa Mtwara vivjijini wananielewa
- Mh. Aggrey Mwanri naye hivyo hivyo
- Mh. Abraham Kinana naye hivyo hivyo hadi haamini macho yake
- Mh. Nape Nnawiye huyu ndio aliyezomewa mala nyingi kuliko wote anahamaki mpaka anatukana matusi
- Mh Jakaya Kikwete Chunya msafara wake ulitupiwa mawe
- Mh. Mama Salima kikwete -first lady huko mbeya alizomewa na ARUSHA wakati anamfanyia kampeni Batrida Buriani alizomewa akabidi afanye mikutano ya ndani