Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Ni baada ya Teuzi za juzi zinapingwa
Sasa wakina lizabon watakuelewa na wao hawajateuliwaHayo si maamuzi ya rais kwani Hana Shida gani
Wanaogopa kivuli chao wenyeweHahahahaha CCM Mbele kwa Mbele..... Huu wimbo hauna mvuto sana aiseee. Kwanini hauimbwi tena?
Hasara za kukurupuka ni nyingi kuliko faidaKatika hali hii ya uteuzi wa kulipa fadhila, ni ngumu sana kuelewa mamlaka za uteuzi na kile wanachohubiri. Inasikitisha sana kuwa ajira zimesitishwa ila wengine wanaendelea kuajiriwa. DAS kisheria sio ajira za kisiasa, ile ni permanent and pensionable employment. Inahitaji watu wenye uzoefu na ambao ni watumishi wa umma tayari, ila ukiangalia hawa walioteuliwa kuna wengine hawajawahi kuajiriwa popote na hii ni ajira yao za kwanza!!!!!!! Nikitazama naona "pure darkness".
Ana hiari ya kupokea ushauri lakini ukweli lazima wamwambie!hili nalo litapita!!mlianza wakuu wa wilaya ila sasa kimya!! uzuri JPM huwa hasikiliz hyo mijadala yenu, na kama anaisikiaga baai huwa anawapuuza!!
Hasara za kukurupuka ni nyingi kuliko faida
unalazimisha ushauri??Ana hiari ya kupokea ushauri lakini ukweli lazima wamwambie!
Ccm ilisha jifia siku nyingi, shukrani kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
What future is ahead of us?Inahitaji watu wenye uzoefu na ambao ni watumishi wa umma tayari, ila ukiangalia hawa walioteuliwa kuna wengine hawajawahi kuajiriwa popote na hii ni ajira yao za kwanza!!!!!!! Nikitazama naona "pure darkness".
Kwa hiyo kila kinachosemwa na MAGAZETI kwako ni sahihi.....SASA ni kwanini povu huwa linakutoka pale tu MAGAZETI YANAPOWAANDIKA VIONGOZI WENU.....????Ni baada ya Teuzi za juzi zinapingwa
Pamoja na kwamba jibu lako ni jepesi lakin kumbuka wanawatumikia wananchi na kama wata perform chini ya kiwango wenye shida ni wananchi sio rais wala wateule wake,tafakari na hilo pia usije ukawa wa ndiyo mzee hata kama msumari unapigiliwa kwenye kidonda na maumivu unayasikia.Hayo si maamuzi ya rais kwani Hana Shida gani
Reference ya utawala wa nchi yetu ni Chadema au ni akili zako ndogo tu? Please nisaidieList of shame walikurupuka kuiweka 2007 na wakakurupuka kuitoa 2015 kwny Tovuti ya Chama.