Makada wa CCM waibua mjadala

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Ni baada ya Teuzi za juzi zinapingwa

IMG-20160707-WA0032.jpg
 
Hahahahaha CCM Mbele kwa Mbele..... Huu wimbo hauna mvuto sana aiseee. Kwanini hauimbwi tena?
 
Katika hali hii ya uteuzi wa kulipa fadhila, ni ngumu sana kuelewa mamlaka za uteuzi na kile wanachohubiri. Inasikitisha sana kuwa ajira zimesitishwa ila wengine wanaendelea kuajiriwa. DAS kisheria sio ajira za kisiasa, ile ni permanent and pensionable employment. Inahitaji watu wenye uzoefu na ambao ni watumishi wa umma tayari, ila ukiangalia hawa walioteuliwa kuna wengine hawajawahi kuajiriwa popote na hii ni ajira yao za kwanza!!!!!!! Nikitazama naona "pure darkness".
 
Hasara za kukurupuka ni nyingi kuliko faida
 
hili nalo litapita!!mlianza wakuu wa wilaya ila sasa kimya!! uzuri JPM huwa hasikiliz hyo mijadala yenu, na kama anaisikiaga baai huwa anawapuuza!!
 
Hayo si maamuzi ya rais kwani Hana Shida gani
Pamoja na kwamba jibu lako ni jepesi lakin kumbuka wanawatumikia wananchi na kama wata perform chini ya kiwango wenye shida ni wananchi sio rais wala wateule wake,tafakari na hilo pia usije ukawa wa ndiyo mzee hata kama msumari unapigiliwa kwenye kidonda na maumivu unayasikia.
 
Back
Top Bottom