LUCAS KISIMIR
Member
- Sep 11, 2012
- 29
- 4
Makada wa CCM hawazomewi na watu wastaarabu baliwatu walioandaliwa kwa kumezeshwa viroba (Pombe kali), ili wapoteze viwango vyautu na utashi wao, hali inayowawezesha kuvamia vikao vya CCM na kupiga mayowekunakopunguza utulivu na masikilizano. Wazomeaji hao ni vijana wadogowaliopotoka kimaadili kwani huwazomea viongozi ambao kiumri wako sawa na wazaziwao au hata kuwazaidi. Hizo ndizo Siasa za baadhi ya wapinzani ambaohawana hoja mbadala za kuwasilisha mbele ya umma bali kuvuruga Chama chenye SERAdhahiri na ILANI inayotekelezwa kwa kulenga mahitaji halisi ya umma kupitia Serikaliza Mitaa. Wapinzani hawawezi kuwasilisha mipango yao ya maendeleo bali lao ni kutoaporojo za kukichonganisha CCM na Umma. Hawana jipya.
Generali Ulimwengu kama Mtanzania mzalendo, alikuwana nia njema katika kuasisi mitandao ya kijamii. Kwa uzalendo wake aliamuakuweka mfumo wa kimawasiliano ili WaTanzania wenzake wapate fursa yakubadilishana mawazo ili kuboreshana kifikra. Mchango wake sasa umewamiwa nawatu ambao wanachukulia ubunifu huo kama fursa ya kutukanana na kukashifiana nakupotosha kila jambo kama kwamba wanapo pengine pa kuhamia wakipachafua palipopao. Watumiaji wengine wa mitandao ya kijamii hawajitofautishi na bomba ambalokwa asili yake halichagui kati ya kupitisha maji-taka au maji safi!
Hawachujihabari na ikiwa wamebahatika kuzifahamu chembechembe za ukweli wanakosauungwana wa kuisawazisha habari ili kuiweka katika mwanga bora ili watu waijuekweli iliyo kweli. Kumbukeni kwamba watoto wa Tanzania wanasoma hayomnayoyaandika na hivyo mnawapa uridhi mchafu nao hubaki kwenye giza tatanishi wakidhanikwamba hayo yasemwayo ni kweli na hivyo kubakia katika wingu la dhana potofu!! Siouungwana mtu kushupalia jambo asilolijua kwa ushabiki tu na kwa kuwa kalionakwenye mtandao na kujiweka katika nafasi kama kwamba analifahamu lisemwalo!Wapo watu wanajiofanya wanajua wasichokijua kumbe hawajui wajuacho!
Ikumbukwe kwamba Waziri Professor Maghembe alikuwana ziara maalum ya kitaifa kuzindua Miradi ya ya maji katika Vijiji 10 kwenyekila Halmashauri nchini. Uzinduzi huu ulifanyikia KITAIFA katika kijiji cha Endagilleambapo maji yatatosheleza kwa 246%. Hili lilikuwa tukio la shukrani kwa Mungukwa ufanisi huo wa kupatikana kwa maji yatakayotumika kwa binadamu na mifugoyao. Maji hayo yataboresha kipato katika ngazi ya kaya, kwa watu kuanzishabustani na hivyo kuuza mazao yao. Kwa mantiki hiyo, mzunguko wa fedha kijijiniutaboreka. Sasa, katika mazingira hayo, ni binadamu gani mtimilifuambaye anaweza kukosa moyo wa shukrani kwa Mungu hadi kumzomea Kiongozialiyekuja kuwaondolea adha ya muda mrefu ya ukosefu wa maji?
Kazi ya kipaumbele(aliyoijia) Professor kaifanya kwenye kata ya jirani (Mamire) na baada ya hapo akaombwakufika kwenye Kata ya Gallapo, ambayo, wala haikuwa kwenye ratiba ya shughulizake za siku! Kutokana na tabia yake ya upendo, upole, utu na uungwana, alikubaliombi la viongozi na kuchepusha ratiba na muda wake ili apate fursa ya kuwaonawana Gallapo wanaokabiliwa na adha ya upungufu wa maji kwa muda mrefu.
Alikubali! Kwa watu wanaomjua Mungu, wananchi haowalipata "Bahati ya Mtende"Waziri Maghembe hakuzomewa na wananchi wa Gallapo.Waziri huyo alitoa maelekezo ya njia za utatuzi wa kero ya upungufu wa maji-akiwaWaziri mwenye dhamana. Aliahidi KISIMA kipya cha MAJI ambacho kitakamilika kablaya mwisho wa Mwaka wa Fedha, mradi wa maji uliopo uboreshwe na masualayanayolalamikiwa na wananchi ambayo Mkuu wa Mkoa aliyatolea maagizo namaelekezo yatekelezwe haraka sana. Je, huyo ndiye kiongozi wa kuzomewa?
Ukweli wa hali halisi ni kwamba Vijana waliandaliwakufanya vurugu kwa kuwa Zito Kabwe amepanga kufanya ziara yake Gallapo. Walichobainini kwamba hawatakuwa na hoja yenye mashiko kwa kuwa Serikali imeshapataufumbuzi wa tatizo lililokuwa likiwakabili wanaGallapo. Sasa, hoja na agendainayosikilizika kwa wananchi wangeipata wapi kwa ufanisi huo wa kudumu waSerikali ya CCM?Akina mama wa Gallapo pamoja na wananchi wenyemapenzi mema wanaishukuru Serikali kwa utekelezaji wake mahiri. Madhaifu yakiutekelezaji yatashughulikiwa na Mkuu wa Mkoa kwa hatua za ufuatiliaji. Wakati huo, muda ulikuwa Saa 10 jioni, alimbidi MheshimiwaMaghembe kwa heshima aombe ruhusa ya kuondoka mkutanoni kwenda Arusha nahatimaye KIA ambako atapanda ndege kwenda Dar-es-salaam na ndiyo sababu yakuomba asiulizwe maswali kwa mambo muhimu yafuatayo;
1. Mudaulikwisha na hivyo asingeweza kuyajibu maswali ya wananchi kikamilifu na kwaufanisi. Hakutaka kulipua,
2. Aliwapawataalamu maelekezo ya mambo ya kufanya kwa kuwa watu wanahitaji huduma ya majina wala sio maneno matupu,
3. Taarifaya mgogoro wa maji Gallapo ilikwisha-kuwasilishwa kwake kwa maandishi,
4. Maelekezoya Mkuu wa Mkoa yatatekelezwa mara arudipo kutoka msibani,
5. Alitakiwakwenda Arusha na hatimaye KIA atakaporuka kwenda Dar. Ndege haisubiri pindimuda unapowadia,
6. AliwaagizaWataalamu aliofuatana nao warudi kufanya uchunguzi wa tatizo la maji Gallapo kuanziasiku ya tatu na taarifa iwasilishwe kwake kabla ya ziara yake ya Gallapo,
7. AlitoaAhadi ya kurudi tena Gallapo ndani ya Mwezi Desemba ili ashiriki katika uchambuziwa tatizo hadi ufumbuzi wa kudumu uapatikane huku tukiendea kipindi chautekelezaji wa mradi.Hakuna jambo la kuzomea hapa ila tu athari yamaandalizi ya vijana kwa ajili ya ziara ya Zitto Kabwe anayezuru Gallapo.
Kwa mantikihii, hata wewe mwenyewe utajua kwamba tatizo hilo la maji ndiyo uhai na kiinicha ziara ya wapinzani Gallapo. Mtu kama Kabwe akiyajua haya, bila shakaatapuuza ziara hiyo na kwenda kwingineko! Mungu anatuelekeza kuijua kweliitakayotuweka huru na tukiitumia kweli tutakuwa huru kweli kweli.