Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
KUFUNGUA MILANGO YA MAGEREZA ili kuwanyamazisha waliodai mabadiliko, kitendo kile kilichochea moto wa mabadiliko mara ELFU KUMI. Makaburu walianza kutumia RISASI ZA MOTO, wakaua maelfu ya watu weusi ili wasidai mabadiliko, hatua ile ikayachochea mara LAKI MOJA, yakaenea kila kona. Jela zitakapofunguliwa zaidi ndivyo Tanzania yetu itakuwa MASHAKANI zaidi.
ENDELEENI kumpigia makofi, endeleeni kumshangilia, maana hata Afrika ya Kusini wapo watu weusi walishangilia na kupiga makofi kila weusi wenzao walipowekwa magerezani, walipouawa kwa risasi na walipoteswa na kudhihakiwa. Hakika nawaambieni, nyinyi mshangiliao hamtabaki salama, ipo siku nanyi mtakuwa gerezani, mtateswa na kupigwa risasi za moto kwa sababu tu ya kushangilia kwenu.
Akimaliza upande huu, lazima ataingia maungoni mwenu pia. Muda ni kila kitu.
Mtatiro J