Makaburu waliitengeneza South Africa,we have to admit

uchwara

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
438
134
Tunasifia Mandela kutibiwa na kufia South Africa.

Unfortunately wengi wenye akili timamu tunaregret Mwalimu Nyerere kufia St Thomas hospital ,maana ilikuwa propaganda nzuri ya Waingereza kwamba 1961 walitupa uhuru,still mpaka leo viongozi wetu wanatibiwa UK

Diria alifia Ujerumani,Amir Jamal, Canada, yule wa fedha wakati wa Mkapa ,Dr Balali ,USA .
Malecela alifanyiwa operation top private hospital ya Wellington,na Msuya alisafiri mwaka huu kwa matibabu zaidi.
Achilia mbali mtoto wa mkulima

Pamoja na udhalimu wa makaburu,wao walisema South Africa ni nchi yao,tofauti na Waingereza ambao popote walikwenda walikuwa ni kuiba na kupeleka kwao.Ndio maana wallijenga nchi ,kwa kutumia raslimali .
Leo kuna high class education,infrastucture na strong judiciary.Free media ipo vizuri huta sikia design ya matukio ya Kibanda Mwangosi etc

Ndio maana wenye uwezo hapa Bongo wanakwend Milpark hospital ,part ya Netcare hospital group.
Tunasikia Mgimwa yuko huko,so Kibanda na Marehemu Dr Mvungi alitibiwa huko
Jiulize kwa nini hawaendi Nigeria,Ghana,Angola au Zambia?

Kwa vijana wa sasa muelewe kuwa operation ya kwanza ya moyo ilifanyika South Africa chini ya mkaburu Dr Christiaan Barnad!Ndio muelewe uwezo wa mkaburu.

Mkaburu anaregret what happened during apartheid,ila mchango wao kwenye South Africa hautasaulika.
 
Ni kweli mkaburu alijenga South Africa in terms of the infrastructure but u must remember ule mfumo ulijengwa kwa manufaa ya mtu mweupe. Nenda Soweto uone kabwela mweusi anavyoishi. You can never justify or convince me of the apartheid system for it was simply brutally inhuman.
 
Rasilimali zikisimamiwa vyema kila kitu kinawezekana. Viongozi wetu ni walafi na wamero wanataka kula kila kitu, hawana mpango wowote wa kuendeleza nchi
 
Haha....unasahau pia south africa ni ya mwingereza?South Africa ina investment za Australia, na uingereza wenyewe, ingawa kulikuwa na mkusanyiko wa wazungu tofauti.Australia bado ni colon la wingereza.

Well, jamii za kizungu zina bahati ya kuwa imara kuweza tengeneza nchi,na mambo mengine ya kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom