Makaburi ya wahanga wa ajari ya treni dodoma msagali,yageuka gesti bubu na kijiwe.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,215
Ajari ya treni ambayo ilitokea mwaka 2002,na maziko yake kufanyika mkoan dodoma sasa yamegeuka kuwa gesti bubu na kichaka cha kuvutia bange.Jukumu la usafi wa eneo lile ambalo lina UZIO lilikuwa chini ya Railway,hata ivyo nampongeza kufuri SOLEX KWA UVUMILIVU WAKE.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom