Makaburi tuyaombee, yapumzike kwa amani

Wakuligo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
259
106
Rais Magufuli amewaambia viongozi wa ccm mikoa na wilaya wasiende kufumua makaburi bali wayaombee yapumzike kwa amaani.
Makaburi alimaanisha nini?? Tusaidiane kuelewa!
 
Back
Top Bottom