Makaburi ndani ya CCM: Mnakumbuka vijisenti vya Chenge? Mahakama ya mafisadu ni ya kina nani Tanzania?

Kulikuwa hakuna haja ya kufungua mahakama ya mafisadi au kuunda Takukuru ni kupoteza fedha za wananchi bure.Vyombo vya polisi na mahakama za kawaida vinauwezo mkubwa wa kushughukia maswala haya kama zamani.
Iliwahi kubainika huko India waliwahi kuunda anticorruption squard sita za kuchunguzana lakini waliangukia patupu.
Takukuru haijawahi kushinda kesi yenye mashiko wala mahakama ya hujumu uchumi ni kama haipati wateja.
Kwa maoni yangu hizo taasisi mbili zilianzishwa na hao wanasiasa kuwalaghai wananchi kuwa serikali inayashughulikia kwa nguvu zake zote.Wajinga ndio waliwao.
 
Jokate mwenye picha za uchi mitandaoni ,kapigwa mashine na Hashim thabit,Diamond,AY,Jux,Dogo Jbnga eti kazawadiwa ukuu wa wilaya,Yesu tuokoe
kwa mwanamke umri wa kidoti tena kapitia vyuo vya elimu ya juu mbona hao wachache sana waliopita naye?,fanya uchunguzi kwa mabint wa dunia ya sasa wanavyofukia mashimo
 
Nyinyi ni mijitu mijinga sana walahi!
Yaani baada ya kukaa na kutafuta maendeleo eti mnakwenda kufufua makaburi, pathetic DNA kwa kweli, hakika hapo mlipo mmvaa kibwebwe cha msutano kwa sababu ndio kazi yenyewe mnayo iweza, pathetics characters walahi!
Endeleeni kuvaa VIBWEBWE NA UMASKINI WENU WA MILELE WALAHI!
MAJITU MAZIMA OVYO KABISA walahi
Ficha upumbavu wako, anika busara zako.

Ni ushauri tu.
 
Kulikuwa hakuna haja ya kufungua mahakama ya mafisadi au kuunda Takukuru ni kupoteza fedha za wananchi bure.Vyombo vya polisi na mahakama za kawaida vinauwezo mkubwa wa kushughukia maswala haya kama zamani.
Iliwahi kubainika huko India waliwahi kuunda anticorruption squard sita za kuchunguzana lakini waliangukia patupu.
Takukuru haijawahi kushinda kesi yenye mashiko wala mahakama ya hujumu uchumi ni kama haipati wateja.
Kwa maoni yangu hizo taasisi mbili zilianzishwa na hao wanasiasa kuwalaghai wananchi kuwa serikali inayashughulikia kwa nguvu zake zote.Wajinga ndio waliwao.
Takukuru wamebobea kwenye kukamata wahadhiri wanaongonoka na wanafunzi wao
 
Ivi ukimshtaki Chenge utamshtaki kwa mashtaka yapi? Huyo Mzee ni fumbo kubwa Nani wa kulifumbua?
 
Back
Top Bottom