jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,404
- 2,156
Kwani wamakonde ndo hawatakiwi kuwa mabishoo.?Jux..ubishoo wote kumbe mmakonde.
Kwani wamakonde ndo hawatakiwi kuwa mabishoo.?Jux..ubishoo wote kumbe mmakonde.
Huyo ni bukoba huko ndio asili yakeIvi Goodluck Gozbet ni Msukuma au katokea Mwanza tu au ni Mzinza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ili mtu awe bishoo anatakiwa kuwa kabila gani mkuu?Jux..ubishoo wote kumbe mmakonde.
Sheta mchaga wa wapi?fafanua muzee
Nandy mpare,hakuna mchaga anaitwa mfinanga hao ni pare og1)Nandy mchaga wapele majengo kiboroloni Kb kabsaaa
2) bill nass huyu mchaga kule marangu mwika mita hiyoo ka sikosei ana broh wake anai twa amani lyimoo anapenda kumrusha sanaa utasiki "amani lyimooo what's upppppp.....!!"
Sent using Jamii Forums mobile app
wanyakyusa kwenye kwaya mpo vizuriBony mwaitege - mnyakyusa
Bahati bukuku - mnyakyusa
Martha mwaipaja - mnyakyusa
Mwansasu - mnyakyusa
Ambwene Yesaya (AY) - mnyakyusa
Dr ipyana - mnyakyusa
Mwasongwe - mnyakyusa
Mimi hapa - Mnyakyusa
Ukim-exclude Jose Mara the rest ni wamegwaji wazuriShilole _mnyamwezi
Jose mara _mnyamwezi
Wema _mnyamwezi
Mobetto _mnyamwezi
Sent using Jamii Forums mobile app