Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 754
Hujanijibu swali langu kwa ufasaha.Nilitaka kujua kama wameru wa tz na wa huku Kenya ni wale wale ni kabila moja lilipoteana au vipi?Wameru wa Kenya wanaishi kando ya mlima Kenya na ni wakulima na kwao vyakula vya aina nyingi viko kwa wingi sana pia wanapanda majani chai na kahawa.Kitega uchumi chao kuu ni mmea wa mirungi.Wanapata hela sana kwa mirungi na utapata gari zao za mirungi zikielekea uwanja wa ndege JKIA kwa kasi ya ajabu.Hiyo ndo sifa yao mambo yote yao wanafanya kwa kukurupuka na pia wana hasira kali mno.Ukimtania anakukata kwa panga,wanakatana kwao saana na mapanga na visu ambavyo wengi wao hawakosi kutembea navyo.Hadi mwanaume asipoonekana ana alama au hata amekatwa pua au sikio kwao huyo si mwanaume!
Watakuwa na uhusiano wakaribu na Wakurya!Mimi nimechanganya toka Meru na Machame!