mbona akila mwakyembe wamepigania mpaka akina lowasa wapo hoi?.....hao sio wanyakyusa............lkn naona sio vizuri kuhusisha swala la dr.slaa na mambo ya makabila........tumjadili slaa tumwelezee nas kumkubali kwa uwezo wake ...tupo pamoja naye mpaka ukamilifu wa dahari..
Babas wa Taifa aliliona hilo kwa kusema kuwa kabila kubwa likiongoza basi makabila madogo yatakosa pa kuumulia, na ndio maana waongoza nchi ni vijikabila vidogo kama wakwere, angalia zanzibar ni kitu kimekuwa kikifanyika kwa muda mrefu.
Hili linaweza kuwa na ukweli kama alivyowaza JK ze Wise (Baba wa Taifa), kwasababu sasa hivi ukienda ofisi ambayo mkuu wake anatoka katika haya makabila yaitwayo makubwa, basi utakuta mpaka messanger(Communication assistant), mlinzi, mpishi ni wa kabila yake.
Pwani ndio kuna makabila makubwa! imefika kipindi watu pwani tukamate nchi!.. watu wengi wa bara ni walarushwa!... nikisema pwani simaanishi visiwani "zenji"!! dar, tanga, kilwa.. na mikoa mingine ya pwani! iliyo malizwa nguvu makusudi na watu wa BARA! kwanza itabidi tujitengei! :becky:
Kwa nini jukumu la uongozi liwe la makabila makubwa tu ? Huoni kama hili linaleta ukabila ?
Pwani ndio kuna makabila makubwa! imefika kipindi watu pwani tukamate nchi!.. watu wengi wa bara ni walarushwa!... nikisema pwani simaanishi visiwani "zenji"!! dar, tanga, kilwa.. na mikoa mingine ya pwani! iliyo malizwa nguvu makusudi na watu wa BARA! kwanza itabidi tujitengei! :becky:
Ndiyo hayo .Ukisema Mhindi analeta rushwa,unasema kuwa huo ni UBAGUZI wa rangi.
Thread ilikuwa inasema kuwa Makabila haya yameshindwa kutoa leadership kuikomboa nchi hii kutoka katika poverty na ufisadi.Na haya makabila yana resources nyingi ukumbuke
Nikasema makabila haya hayana akina watu kama SLAA.Nampongeza SLAA(ambaye ametoka kabila dogo) na kupigania maslahi ya nchi.
N
CCM iliwafanya Wasukuma kuwa wajinga...mfano kuna kipindi mkoa mzima ulikuwa na shule zisizo zidi 10 sasa hapo unategemea nini?...lakini kuna sehemu (bariadi kwenye jibo na John Sheyo) wameichoka CCM baada ya kufisadi na kina Edward na Paul aka Rehema ya Mungu kupitia Shirecu...Wabunge/Viongozi wa makabila haya wameshindwa kutoa leadership kabisa katika maendeleo ya Taifa letu .
Makabila haya sio siri ni Wasukuma,Wanyamwezi,Wachaga,Wahaya na Wanyakyusa.
Na jiuliza kwa nini tusiwe na akina SLAA katika makabila haya?Watu wenye uchungu na poverty ya nchi ,wenye uchungu na ufisadi?Assume tungekuwa na design ya SLAA wawili katika kila makabila haya!!!!!!Sasa SLAA amesimama peke yake,mzigo ni mkubwa sana.
Wengi ni mamluki tu.
Mpaka pale haya makabila yatakapotea leadership ,tutabaki hivyo hivyo milele.
CCM iliwafanya Wasukuma kuwa wajinga...mfano kuna kipindi mkoa mzima ulikuwa na shule zisizo zidi 10 sasa hapo unategemea nini?...lakini kuna sehemu (bariadi kwenye jibo na John Sheyo) wameichoka CCM baada ya kufisadi na kina Edward na Paul aka Rehema ya Mungu kupitia Shirecu...