Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,823
- 1,033
Nilichogundua kabila flani likipiga hatua flan kimaendeleo litapewa sifa lukuki na nyingine hasa zile mbaya, mfano wanasema wanyakyusa, wahaya, wachaga wanaubinafsi, (wachaga wezi), (wahaya vicheche), (wanyakyusa wanaubinafsi a.k.a mwamwamwa) na tuiyaangalia makabila haya wamepiga hatua kimaendeleo ndo makabila yanayosifiwa kwa kujituma, pia kuelimika hata huko kwao ni kuzuri sana
....wasukuma ni kabila linalosifiwa kwa upole na ukarimu, lakini ndo kabila linaloaminika kwa kuwa na washamba wengi na wengi hawajaenda shule, WAHA, ni kabila ambalo pia lipo kwenye transition maana ni wachakarikaji lakini shule kwao ni tatizo, wao pia hawana shutuma nyingi zaidi ya kalumanzila na ubishi (wakina bulaza K) pia makabila ya pwani nayo pia yanaeleweka kwa kukaa vibarazani na kucheza bao, je tatizo ni kuelimika au tatizo ni kabila, tuache ukabila na tujadili kiuhalisia.
...jamani mimi msinihukumu kwa kuwa haya niliyoyasema ndo tunafahamu wote hivyo (watu wa social works wanaelewa) labda kama hauishi Tz.