amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,103
- 30,991
Yaani mimi niwaonee wivu warangi?Acheni wivu bhana.., ahahhah
Yaani mimi niwaonee wivu warangi?Acheni wivu bhana.., ahahhah
Puuza huu uzushi, sio kweli!
Namba 7 hapana
😂😂😂😂😂😂
Nakuona muimba kwaya.
Kweli ai kanti yu.Watu na sauti zetu za nne teh
Nashangaa Wapangwa hawapo.kwanini?.Unawaacha Wahangaza, wambulu(wairaqw), wapemba, waasi.....unaweka wasukuma, wanyakyusa, wapare....huu utafit wa kupika aisee!!
Wazuri wa sura au tabia? Fafanua mkuu1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa