Makabila bwana!(dont read this if you dont have to!)

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,
Wakurya:Mama Chacha twende 2kakandamize!
Wamasai:Mama Yeyoonipe ile litu inamesa mwensake!
Wahaya: Mama Bojo infwakti rara nikurarie!
Wachaga:Mama Sia fungua kibubu nitupe shilingi ati!
Kiboko yao Wapemba: aaah! Mama Sefu panua paja mti waja!
Je kabila lenu linasemaje?
 
Hiyo ya kimasai ndo imenitoa: 'Mama Yeyo nipe ile kitu inayomesa mwenzake' :D
 
Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,
Wakurya:Mama Chacha twende 2kakandamize!
Wamasai:Mama Yeyoonipe ile litu inamesa mwensake!
Wahaya: Mama Bojo infwakti rara nikurarie!
Wachaga:Mama Sia fungua kibubu nitupe shilingi ati!
Kiboko yao Wapemba: aaah! Mama Sefu panua paja mti waja!
Je kabila lenu linasemaje?

Quite a number of weaknesses in these love commands!!! Simply women are there for men!!! Hakuna kubisha, lete in any how!!! Kweli ndoa za kiafrika tunahitaji kubadilika. Mostly, one way traffic!!!
 
Quite a number of weaknesses in these love commands!!! Simply women are there for men!!! Hakuna kubisha, lete in any how!!! Kweli ndoa za kiafrika tunahitaji kubadilika. Mostly, one way traffic!!!

Mkuu kuna njemba mmoja alikuwa hajamgusa mkewe kwa kipindi (sijui ilikuwa ni muda gani) Maana Njemba ilikuwa inacheza sana viwanja vya ugenini. Mama akazidiwa mpaka akaomba shughuli kwa Mzee kwa mara ya kwanza katika ndoa yao ambayo tayari ilikuwa na miaka mingi tu. Njemba acha ije juu kwa kuombwa. Ukawa ugomvi mkubwa sana na njemba kudai, "Kama nisingekuwapo na wewe una hamu je, ungetembea nje!?" lakini kasheshe iliisha na mama ndiye aliyekuwa mshindi kwa kuonekana ana haki ya kuomba kama anajisikia sikia. ;)

Kwa maoni yangu wanaume (Tanzania) pia tunachangia hali hiyo. Kwa mfano hatuwapi nafasi wanawake na wao wawe na sauti katika hili tendo hili hata kama mkeo au GF ulimkuta si bikira. Kila siku mwanaume ndiye anaamua tendo litafanywa kivipi. Mama akisema miye napenda kwa hivi pia basi ni ugomvi wa hali ya juu. Nani kakufundisha kufanya kwa hivi? una mwanaume mwingine nini wewe?

Kaka punguza hasira huyu binti hukumkuta bikira ati! aliwahi kuwa na wengine ambao walikuwa wakifanya tofauti na wewe kama binti anafurahia zaidi kihivyo basi mwache akueleze ili wote mfurahie zaidi tendo hilo.
 
Wachaga;ngilihemba mbatu.
Kwa nini hali/maneno hayo yawepo?Je hata wewe upo hivyo?Je ni sahihi?
 
Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,
Wakurya:Mama Chacha twende 2kakandamize!
Wamasai:Mama Yeyoonipe ile litu inamesa mwensake!
Wahaya: Mama Bojo infwakti rara nikurarie!
Wachaga:Mama Sia fungua kibubu nitupe shilingi ati!
Kiboko yao Wapemba: aaah! Mama Sefu panua paja mti waja!
Je kabila lenu linasemaje?

sasa nahisi hii mada yote umeiletwa kivarange varange ikiwa hao watu wanamakabila yao kwa maana hiyo hutowa maobi yao kwa kutumia lugha za makabila yao au ndio sikuhizi hazitakiwi hata kusikikana kama zipo au zilikuwepo lugha za makabila ?
 
Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,
Wakurya:Mama Chacha twende 2kakandamize!
Wamasai:Mama Yeyoonipe ile litu inamesa mwensake!
Wahaya: Mama Bojo infwakti rara nikurarie!
Wachaga:Mama Sia fungua kibubu nitupe shilingi ati!
Kiboko yao Wapemba: aaah! Mama Sefu panua paja mti waja!
Je kabila lenu linasemaje?
Du leo nimecheka mpaka kulia machozi, sisi wabongo nuksi kwa kubuni misemo. Laiti tungekuwa sharp namna hii katika nyanja zote tungekuwa hata tumeshatua kwenye sayari ya Mars.
 
Mie niliipata zamani kutoka kwa dada yeyo mmoja kutoka Jamaica:

Mchagga: We mama Aika uko wapi? Ntaacha!!!

Mkurya: "RARA CHINI NIKURENGE"

Mhaya: Mama Koku if you are ready twende tukaperform

Mnyakyusa: Findu Fyangu we obhokela

Mpare: Mama Foibe thou nikakudenge

Mnyamwezi: Mama Nyanzo twendege tukhalimege litonge!

Jaluo: Twendege tukasukumane

Maasai: Mama yeyoo nataka ile inamesa mwensake..

Wasukuma : Nalikuchola mayu, kiyumbo mayu.
 
Back
Top Bottom