Makabila 10 yanayoongoza kwa ubahili huu

Wapemba ungewatoa kuna Wakinga na Wamasai.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Kuna mpare flan siku hiyo yuko na mtoto wake mjini wakitembea.ghafla mtoto akadondoka akapoteza faham!
Watu wakaanza kumbeba wakisaidiana na baba mtu hadi hospitali,
Kufika mzee anaulizwa mtoto wako huwa anadondoka hapana mzee akajibu!
Dokta akaagiza mtori mtoto akapiga mtori kama anafkuzwa vile dakika mbili jasho linamtoka mtoto.
Kumbe njaa toka jana mzee anamzungusha mtoto kimyakimya!
Acha watu wamjie juu huyo mzee na anajulikana ana utajiri mkubwa wa mabasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee,

Hiyo listi ya wabahili hapo juu, ina makabila yaliyofanikiwa sana pia.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom