Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Ndio maana mkoa wao hauendelei because they dont spend, so mzunguko wa fwedha unakuwa kiduchu.
Umeona eehWapare tumeonewa, mawakala wamenunuliwa si bure
Mzima dada yangu?Wapemba ungewatoa kuna Wakinga na Wamasai.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Asee,Kuna mpare flan siku hiyo yuko na mtoto wake mjini wakitembea.ghafla mtoto akadondoka akapoteza faham!
Watu wakaanza kumbeba wakisaidiana na baba mtu hadi hospitali,
Kufika mzee anaulizwa mtoto wako huwa anadondoka hapana mzee akajibu!
Dokta akaagiza mtori mtoto akapiga mtori kama anafkuzwa vile dakika mbili jasho linamtoka mtoto.
Kumbe njaa toka jana mzee anamzungusha mtoto kimyakimya!
Acha watu wamjie juu huyo mzee na anajulikana ana utajiri mkubwa wa mabasi
Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi naomba nimwuulize huyo mtoa Uzi huu, hivi ni kabila gani linalotoa pesa hovyo hovyo bila mpangilio kwa hapa Tanzania? Au ni kabila gani linalopanga pesa barabarani ili kila anayepita anajichukulia bila kuulizwa?
Waha ni shida wewehadi sasa hivi najiuliza mpare kawaje namba mbili.
tume hapo sidhani kama ilikuwa huru, kaonewa, alitakiwa awe moja.
Wa afya kaka, sijui wewe.Mzima dada yangu?
Ni mzima pia, mchana mwema.Wa afya kaka, sijui wewe.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
No.3 ni Mkinga nashangaa hata top ten hajatokea. Hii inanifanya niamini hisia zangu kwamba timu ya utafiti iliongozwa na Mkinga.