Makabidhiano ya pikipiki baina ya tajiri na bodaboda

Ninaomba kufahamu utaratibu wa kukabidhiana pikipiki kwa mkataba.

Nimenunua kapikipiki sasa nahitaji kumkabidhi bodaboda ni utaratibu upi wa kufuatwa lengo likiwa baada ya kurejesha kwa Muda kadhaa pikipiki inakuwa yakwake ahsanteni na karibu wajuzi wa mambo
Mkuu mimi nipo tayari kwa mkataba Elfu 10 kila siku lakini iwe miezi 11 na sio 12 kama upo tayar tuwasiliane mimi nipo Mbagala

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Habari za leo?

Ninahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani.

Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa mkataba kulingana na hali ya Pikipiki.

Simu :- 0784 645 900

Natanguliza Shukrani.

Hussein.
 
Wabongo kwa kukatishana tamaa wako vizuri utasikia oooh pasua kichwa pasua guu iko wapi shwain zenu ...ukitaka kufanya kitu usisikilize watu wanasema nini
 
Wabongo kwa kukatishana tamaa wako vizuri utasikia oooh pasua kichwa pasua guu iko wapi shwain zenu ....ukitaka kufanya kitu usisikilize watu wanasema nini
Na ukiwasikiliza kila kitu hutafanya jambo lolote utaishia kuwa maskini.
 
Back
Top Bottom