Makabidhiano ya kiti cha Mwenyekiti wa Umoja Afrika huko Ethiopia 2019

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DzDAruwX0AAa4DX.jpg

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Africa Rais wa Rwanda Mhe Paul Kagame akimkabidhi kijiti cha uwenyekiti Rais wa Misri Mhe Abdel Fattah al-Sisi kwa kipindi cha 2019 -2020 katika mkutano unaendelea huko Ethiopia ambapo Tanzania imewakilishwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa.
 
DzDD4tzWoAAyU0Q.jpg

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe kassim Majaliwa akiwa katika mkutano unaondelea wa Umoja wa Africa huko Ethiopia.
 
Jiwe anaogopa nini kwenda walipo marais wenziwe au ni kwasababu ya ukosefu wa, lugha malkia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshaongea mara nyingi tu kuwa hatakwenda nje ya nchi kwasababu huku ndani ni kuchafu na ukiritimba na ufisadi umejaa na yeye amechaguliwa na wananchi wa tz...huko nje kuna siku atakwenda tu na uwepo wake umesaidia mambo mengi yaliyokuwa yanakwenda ovyo....leo hii hata wewe unaweza kumiliki kiwanja kwa bei ndogo sana tena kilichopimwa na serikali na hati unapata 1.5 million unapata 2million unapata 3million unapata wakati wa Kikwete kupata kiwanja kwa bei hiyo ilikuwa ni ndoto ya mchana....huo ni mfano mmoja tu
 
Hiyo bei nihapa dar essalam au kibiti? 1.5

View attachment 1019072

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Africa Rais wa Rwanda Mhe Paul Kagame akimkabidhi kijiti cha uwenyekiti Rais wa Misri Mhe Abdel Fattah al-Sisi kwa kipindi cha 2019 -2020 katika mkutano unaendelea huko Ethiopia ambapo Tanzania imewakilishwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa.
The only achievement the African dictators in the club of OAU, then AU can boast of is TO AGREE TO DISAGREE
 
Yaah nikweli kabisa kama biashara ya ununuzi wa binadamu Monduli na Ukonga 12bl CAG hajaonza zilipo 2.4t
Ameshaongea mara nyingi tu kuwa hatakwenda nje ya nchi kwasababu huku ndani ni kuchafu na ukiritimba na ufisadi umejaa na yeye amechaguliwa na wananchi wa tz...huko nje kuna siku atakwenda tu na uwepo wake umesaidia mambo mengi yaliyokuwa yanakwenda ovyo....leo hii hata wewe unaweza kumiliki kiwanja kwa bei ndogo sana tena kilichopimwa na serikali na hati unapata 1.5 million unapata 2million unapata 3million unapata wakati wa Kikwete kupata kiwanja kwa bei hiyo ilikuwa ni ndoto ya mchana....huo ni mfano mmoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshaongea mara nyingi tu kuwa hatakwenda nje ya nchi kwasababu huku ndani ni kuchafu na ukiritimba na ufisadi umejaa na yeye amechaguliwa na wananchi wa tz...huko nje kuna siku atakwenda tu na uwepo wake umesaidia mambo mengi yaliyokuwa yanakwenda ovyo....leo hii hata wewe unaweza kumiliki kiwanja kwa bei ndogo sana tena kilichopimwa na serikali na hati unapata 1.5 million unapata 2million unapata 3million unapata wakati wa Kikwete kupata kiwanja kwa bei hiyo ilikuwa ni ndoto ya mchana....huo ni mfano mmoja tu
Wapi huko kuna kiwanja cha 1.5
 
tatizo lenu mko busy na instragram na magazeti ya udaku utapata wapi taarifa za maana kuhusu maendeleo...viwanja vimejaa tele kwa bei hiyo hapa dar wee vipi bwana
unaongelea vile vilivyo karibu na klabu ya Yanga labda..... ambavyo wakati wa mvua hugeuka mabwawa!!
 
tatizo lenu mko busy na instragram na magazeti ya udaku utapata wapi taarifa za maana kuhusu maendeleo...viwanja vimejaa tele kwa bei hiyo hapa dar wee vipi bwana
tatum ukiweza weka picha ya gadafi anapo mkabidhi kiti kikwete wakati ule tafadhari
 
Ameshaongea mara nyingi tu kuwa hatakwenda nje ya nchi kwasababu huku ndani ni kuchafu na ukiritimba na ufisadi umejaa na yeye amechaguliwa na wananchi wa tz...huko nje kuna siku atakwenda tu na uwepo wake umesaidia mambo mengi yaliyokuwa yanakwenda ovyo....leo hii hata wewe unaweza kumiliki kiwanja kwa bei ndogo sana tena kilichopimwa na serikali na hati unapata 1.5 million unapata 2million unapata 3million unapata wakati wa Kikwete kupata kiwanja kwa bei hiyo ilikuwa ni ndoto ya mchana....huo ni mfano mmoja tu
AU imeundwa na waafrika kwa ajili ya waafrika, mnataka wazungu waende?!!??!!??!!
 
Back
Top Bottom