Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,339
- 51,882
- Thread starter
- #61
๐๐๐๐Huenda majani mwenyewe ni mtoto wa mdangaji.
๐๐๐๐Huenda majani mwenyewe ni mtoto wa mdangaji.
Ni kweli, ni ngumu kumbadilisha mtu.
Kwamba kosa lake linahalalisha la mwenzake??Afute kwanza zile tattoo zake ndipo aje na ngojera zake yeye na kajala wote wamechangia kuharibika kwa mtoto wao.
Sehemu ya kazi ya Mungu ni ujinga? Kwa nini Mungu afanye kazi yake iwe ujinga?Ujinga ni sehemu ya kazi ya Mungu aliyoiacha kwa viumbe wake, wanahiyari ya kuchagua ujinga au werevu
Una ka-inferiority BOSS hujiaminiSema mimi kauzu sana pisi kali zinaniogopa mno kwa maana sina story nazo. Pisi Kali ikinijibu nyondo, mimi ndio ninamuonesha nyodo mara 10. Wanawake ambao ni rafiki zangu ni kama wale wa PCM na PCB.
Sipendi dharau. Kama wewe unaona ni inferiority sawa mkuu ila mimi SIPENDI DHARAU.Una ka-inferiority BOSS hujiamini
Ni unconscious behaviour huwezi jua ila unaogopa wanawake wazuri ji-google vizuri type ya madem zako utaona jinsi usivyojiaminiSipendi dharau. Kama wewe unaona ni inferiority sawa mkuu ila mimi SIPENDI DHARAU.
Kama wewe unaona kuwa mimi sijiamini basi sawa ila ninaomba kurudia tena na tena kuwa SIPENDI DHARAU ZA MTOTO WA KIKE.Ni unconscious behaviour huwezi jua ila unaogopa wanawake wazuri ji-google vizuri type ya madem zako utaona jinsi usivyojiamini
Mi nimekupa tu evaluation ...Kama wewe unaona kuwa mimi sijiamini basi sawa ila ninaomba kurudia tena na tena kuwa SIPENDI DHARAU ZA MTOTO WA KIKE.
Uko sahihi lakini kwa namna moja ama nyingine huna tofauti na motivational speakers ambao wanahimiza watu kujiajiri bila kuwapa njia za kujiajiri..MAJUTO YA PFUNK MAJANI YANATOA FUNZO GANI KWA VIJANA AMBAO HAWAJAOA?
Na, Robert Heriel
Jana nilipata bahati ya kusikiliza mahojiano ya Clouds na P Funk Majani yaliyofanyika kwa njia ya simu. Nimeona niandike kidogo kwa lengo la wengine kujifunza kupitia kinachoendelea mitandaoni kwenye tasnia ya Burudani
Kaka Mkubwa Majani kwa maelezo yake amekiri dhahiri Shahiri kuwa alikosea njia kumchagua Kajala kama Mwenza na Mama wa watoto wake.
Majuto ya PFunk majani yanaenda mbali zaidi kuonyesha athari azipatazo yeye binafsi na familia yake kutokana na mienendo ya Kajala aliyekuwa mwenza wake hapo kale.
Si hivyo tuu, PFunk anaeleza namna matukio ya Kajala yanavyoathiri watoto wake huko shuleni na jamii kwa ujumla.
Kupitia mkasa huu lazima tupate cha kujifunza ili kuijenga jamii iliyobora
Wahenga walisema; Uzuri wa Mwanamke sio urembo au umbo Bali ni Tabia; hicho ndicho kinajitokeza katika mkasa huu.
Vijana wa sasa lazima tujichunge, tusidanganywe na tamaa ya macho tuwaonapo wanawake wazuri huku Tabia zao zikiwa chafu. Ni Hatari kwa ustawi wa ndoa na ukuaji wa familia katika jamii yetu na taifa kwa ujumla.
Unapooa mwanamke mzuri lakini anatabia mbovu sio kwamba atakuathiri wewe pekeako bali ataharibu jina la ukoo wenu, watoto wako na jamii kwa ujumla.
Kila siku naeleza humu, mwana wa nyoka huwa ni nyoka siku zote. Mtoto wa kike hurithi Tabia za Mama yake kwa 90% halikadhalika mtoto wa kiume hurithi Tabia ya Baba yake kwa 90%
Hivyo utakapo kuoa mtoto wa kike nenda kachunguze Historia ya Mama yake, hata kama Amekufa historia ni muhimu. Halikadhalika na kwa wanawake kama unataka kuolewa nenda chunguza Tabia ya Baba Mkwe.
90% hufuata mkondo wa wazazi wao kutokana na kurithi Tabia na mfumo. 10% ni wale Exceptional ambao wanakuwa tofauti kabisa na wazazi wao. Hawa 10% ni wachache sana hivyo usiwape Guarantee.
Kama Mama alikuwa Malaya ni rahisi watoto wake wa kike kuwa Malaya
Malaya Huzaa Malaya
Ukoo Malaya huzaa kizazi Malaya
Halikadhalika na sifa zingine kama uchoyo, uvivu, wizi, uchawi na ushirikina, ufupi, urefu, weupe, Weusi n.k.
Usihadaiwe na Makalio makubwa ya mwanamke, usichanganyikiwe na sura nzuri au rangi nzuri. Angalia historia ya Tabia ya ukoo unaoenda kuolewa au kuoa
Upo uwezekano mkubwa kabisa kama umeoa kwa Mama aliyeachana na Mume wake(Baba mkwe) kuna uwezekano Na wewe ukaachana na Huyo mwanamke uliyenaye sasa.
Nimefanya uchunguzi katika hili, na majibu yameonyesha hivyo kuwa wengi tulivyo ni tunapitia kule kule walikopitia wazazi wetu.
Kasoro hao 10% ambao ni Exceptional.
Ni ngumu kudumu kwenye ndoa ikiwa wakwe wako walishindwa kudumu kwenye ndoa zao. Ni ngumu lakini inawezekana.
Nilishawahi kushuhudia kisa cha Mama mmoja jijini Dar es salaam akiwakuwadia watoto wake kwa mabwana wenye pesa. Huyo Mama mwenyewe sio lelemama ni wamoto hata ukimtazama kwa macho tuu.
Vijana unaweza ukapuuzia vitimbwi vya Mwenza wako baada ya kuachana lakini ni ngumu kupuuza vitimbwi vya watoto wako walioaharibiwa na mwenzi wako. Kwani hao wamebeba jina lako na damu yako.
Inauma sana kusikia sifa mbaya kutoka kwa watoto wako alafu ukijaribu kuonya na kukemea kama Baba, Mama mtu anamkingia kifua mtoto. Automatic mtoto ataungana na Mama Na wewe utashindwa in anyways
Angalia Makalio yasije yakakuponza huko mbeleni
Angalia sura na rangi visije vikakupa magonjwa ya moyo
Angalia sauti na umbo visije vikakubomoa.
Umalaya upo damuni wala mtu hajifunzi ndio maana malaya Hawaoni aibu kufanya kwani hawana wa kumhofia iwe ni mzazi wake au nani. Kwani wanajua kuwa wao wapo hivyo sema jamii ndio Haujui tuu.
Umalaya ni kama wizi, uchawi, ulevi, uvivu, ujambazi, n.k
Mtu hajifunzi bali anazaliwa nao.
Kwa waliosoma Psychology mtaungana na mimi hasa waliosoma Psychoanalysis. Mtu habadiliki bali anachofanya ndivyo alivyo
Waliosoma ID, EGo na Super EGo watakubaliana na mimi kuwa zipo Tabia za ndani kabisa ambazo mtu huwa nazo Tabia hizi hukaa kwenye ID. Mtu anapokatazwa jambo Fulani akiwa mtoto basi Tabia hiyo haifi isipokuwa inajificha kwenye ungโ amuzi bwete na siku akikua akapata uhuru Tabia hiyo hujitokeza
Ndio maana watu wapatapo hela ndio Tabia zao za ndani kabisa hudhihirika, au walikipata mamlaka au cheo. Wengi husema Fulani kabadilika kumbe hiyo ndio ilikuwa tabia yake tangu zamani akiwa ananyonya kwa mama yake.
Zamani kwa kulikua hili, ndio maana wazee walikuwa wanakuambia usioe ukoo ule au familia ile kwa mambo kama hayo.
Sasa Vijana wa siku hizi kwa kujifanya wajuaji tunawakatalia wazee na kuwaambia Huyu niliyenaye hana Tabia hizo; kumbe kaficha makucha yake siku ukija kugundua umeumia.
Zingatia Mbuzi hawezi zaa simba
Nyoka hawezi zaa Jongoo
Kuku hawezi Totoa Bata
Watu husema sijui Ukiomba Mungu sijui Yesu atabadilika, thubutu hakuna kubadilika kwa mambo kama hayo. Wengi hurudisha makucha umri ukiwa umechaenda na hawana jipya sasa huko sio kubadilika bali ile Tabia ya Asili imejihifadhi ndani ya ID kama zamani.
Mtu ashakuwa Mzee anaona hana ujanja wala jipya zaidi ya kurudisha makucha ndani kama awali.
Ndio maana Yesu alisema usifungwe Nida na wasioamini.
Mungu aliwaambia Waisrael wasizaliane na wamataifa kwani lazima mambo yataharibika.
Sasa wewe Oa Malaya alafu jipe kazi ya kuomba uone kama Hautaomba maisha yako yote. Utamuombea Mume/mke mhuni weee! Hatabadilika mpaka umri utakapomtupa mkono ndio atarejesha makucha yake ndani, hapo utakuwa hoi utasema walau sasa Kaacha Tabia mbaya lakini kabla hujapumzika unashangaa watoto nao hao wanafungua makucha yao. Utaanza tena kuomba kama Boya hivi mpaka unaingia kuzimu
Kumbe ungeolewa/kuoa Mwenza mwenye Tabia njema usingehangaika na Maombi ya wapuuzi. Ati atabadilika ๐๐๐
Kama huwezi muombea mtu mfupi awe mrefu au mweupe awe mweusi ndivyo usivyoweza kuombea Tabia za asili. Maumbile ya Tabia Yapo ya asili ambayo hukaa ndani kabisa ya mtu ID, achana na haya ya kuiga ya EGo na Super EGo
Yesu alisema, watu Hawavuni Tini kwenye Zabibu.
Ndio maana hata kwenye kuomba kazi lazima CV yako izingatiwe.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Mikese, Morogoro
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃMalaya Huzaa Malaya
Ukoo Malaya huzaa kizazi Malaya
Daaaaah hili swala LA kitini au pamphlet linankumbusha mbali enz izo nko olevel bas ukiwa na vitin vitatu tyuu unaonekana mpenda shuleKitini kimeeleweka! Ila too late!
Nyege nazo zinatiaga upofu! Nyege zikikolea hayo majuto huja baadaye!!
Cha msingi nikuomba Mungu! Lakini kwa akili zetu Hatuwezi tunadanganyana!
Mkuu, unaruhusiwa kuamini unachotaka, kama sehemu ya haki yako ya kiutu na ya kuabudu.Ujinga ni sehemu ya kazi ya Mungu aliyoiacha kwa viumbe wake, wanahiyari ya kuchagua ujinga au werevu
Mchuma janga hula na wakwaoMungu hakupi unachagua mwenyewe
PoaMi nimekupa tu evaluation ...