Majuto ni mjukuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majuto ni mjukuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oba, Jun 25, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tumezidi kulaumu, kila mara twalia giza giza, mgao mgao, mwaka jana wakati wa kuweka watawala tulikuwa wapi? ninyi wenyewe mliipigia kura ccm huku mkijua kuwa hiki ni chama cha "tuko kwenye mchakato" mlifikiri jasiri anasahau asli? ni jadi ya ccm kutoa ahadi hewa na kusingizi michakato so tusilalamike tuandike maumivu tu mpaka 2015 huenda tukapata akil baada ya hapo.
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kwa kutambua hilo mkuu. Ila mie kura yangu nilpgia C H A D E M A.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi uongozi ungebadilika hivi sasa tatizo lingekuwa historia?
   
 4. C

  Claxane Senior Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mgao umekuwa wa kukomeshea tangu j3 knondoni hananasif ukikatika saa kumi na mbili jioni ni mpaka kesho saa 2 asubuhi hii ni adhabu au simbo washeni mitambo
   
Loading...