VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Kwa miezi hii ya utawala wake,Rais John P. J. Magufuli ameonesha kuwa anachukia na kupambana na mambo fulani. Ukitazama utumbuaji wote wa majipu tangu aingie,utakubaliana nami. Hata falsafa yake ya HAPA KAZI TU imejikita hapo.Mambo yenyewe ni haya:
1. Uzembe kazini
2. Matumizi yasiyo ya lazima au umuhimu
3. Ukosefu wa nidhamu na uzalendo.
4. Uongo
5. Umwinyi/u-mimi unanijua nani?
6. Ulevi
7. Ubwanyenye/u-Mangimeza
Hadi sasa,Rais hajauchukia mlundikano wa madaraka kwa mtu mmoja na wizi/ufisadi.
Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam
1. Uzembe kazini
2. Matumizi yasiyo ya lazima au umuhimu
3. Ukosefu wa nidhamu na uzalendo.
4. Uongo
5. Umwinyi/u-mimi unanijua nani?
6. Ulevi
7. Ubwanyenye/u-Mangimeza
Hadi sasa,Rais hajauchukia mlundikano wa madaraka kwa mtu mmoja na wizi/ufisadi.
Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam