Majumba Ya Tegeta Machimbo viwanja wanauziwa nani? Habari Picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majumba Ya Tegeta Machimbo viwanja wanauziwa nani? Habari Picha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Oct 27, 2011.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  kukiwa kuna hali isiyolasimi ya kumiliki viwanja visivyo pimwa hadi kusababisha msongamano wa vijumba vidogodogoambavyo havina vyoo wala barabara huku tanesco na dawasco ikipeleka huduma, ni jambo la kushangaza sana kuona vijumba mithili ya uyoga vikijengwa kwa kasi na kuatarisha usalama wa barabara zetu hasa pale tegeta machimbo.

  Ninauliza nani anatoa kibari cha ujenzi nani anauza sehemu hizi bila mpangilio wa mji au huu ndio uvamizi holela wa viwanja baadaye serikali ije kubomoa kwa gharama na kuahatarisha maisha ya wakazi kwa kupteza rasilimali
   

  Attached Files:

 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huweziamini kuna mawaziri na makatibu wakuu wanakaa mitaa hiyo ya kunduchi, bahari beach na wanaiona hiyo hali
   
Loading...