Majuma Mawili ya Uchungu Mwingi kwa Amerika Yanakuja

Ulipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Nyamsusa JB atakuwa alidanganya, ni kati ya watu LAKI 1 hadi
LAKI 2 wanawezakufa kwa korona wiki 2 zijazo

2020-04-01 12.17.00.jpg
 
Huo ni upumbavu wa DEMS tu, wanataka Trump atangaze lockdown na Trump anajua anachokifanya.
Akiweka watu ndani uchumi utashuka itakuwa ajenga ya DEMS kwenye campaigns.

Dems watafumuka vibaya sana huu uchaguzi unaokuja
Uchumi wa Marekani ulishakuwa unashuka kwa kasi kubwa kabla ya hii Corona, sema media zote za mirengo ya kulia na kushoto zilikuwa hazitangazi. Angalia feds walivyokuwa wanashusha interest rates toka mwaka jana utaelewa kuwa uchumi uko hoi.

Pili, bei ya mafuta inaporomoka vibaya sana, kuna sehemu Dallas gas station zinauza gas $0.99 kwa gallon, mara ya mwisho niliweka mafuta kwa bei hiyo ilikuwa miaka ishirini iliyopita, sijui wewe ulikuwa wapi kipindi hicho.

Kama hujui, Marekani ilikuwa namba moja kwa uchimbaji wa mafuta duniani kutokakna na hydraulic fracturing. Hii teknolojia ni ghali sana, makampuni ya uchimbaji yamekuwa yakikopa benki ili kuendesha hii biashara. Ili makampuni hayo yaweze kujiendesha, inabidi bei ya mafuta iwe $50 (break even point). Sasa hivi bei ya pipa ni chini ya $20, hapa ajira nyingi zitaota mbawa, hawa utawalisha wewe?

Urusi na Saudia wanaendelea kushindana bei ya mafuta kwa kuyajaza kwenye soko, soko ambalo halina wateja, kwa kuwawatu wengi wako majumbani. Tuombe Mungu tuu, hali itakuwa mbaya siku zijazo, hii corona imeongezea kuni tuu.

Makampuni mengi yatahitaji bailout, kitu ambacho hakitawezekana sasa, usione watu wajinga kununua bunduki kwa wingi kipindi hiki, wanaelewa kinaweza nuka muda wowote.
 
Naona kama Trump na Jopo lake lote la kikosi maalumu dhidi ya corana wameshaona janja ya DEMS na wako makini sana. Trump anawajibu vizuri sana hawa wanahabari waliopo kwenye hii Press conference ambao inaonekana kama wanaegemea kwa DEMS sana.
Tatizo ni kuwa idadi ya wagonjwa mahospitalini imeongezeka ghafla kwa kipindi kifupi, vituo vya afya havitaweza kuhimili idadi ya wagonjwa.

Kumbuka bado watu wanaumwa magonjwa mengine, wapo waonapata ajali, wanaopigwa risasi na dharula nyingine nyingi. Nina jamaa zangu waliorudishwa nyumbani kwa kuwa na pneumonia, asiee we acha tuu.

Hospitali itabidi kuchagua wagonjwa, hivyo wengi wasio na magonjwa ya kuambukiza kurudishwa majumbani na hapo ndipo vifo vitaongezeka. Pia wauguzi nao wamekuwa wakiambukizwa Corona na hivyo kupunguza idadi ya wasaidizi mahospitalini, aisee usiombe... siku zijazo zinatisha.
 
Naona kama Trump na Jopo lake lote la kikosi maalumu dhidi ya corana wameshaona janja ya DEMS na wako makini sana. Trump anawajibu vizuri sana hawa wanahabari waliopo kwenye hii Press conference ambao inaonekana kama wanaegemea kwa DEMS sana.
Hao Pro-dems wanajaribu kulitumia hili janga kisiasa dhidi ya Trump ila wakishindwa wataumbuka vibaya mno.
 
Dah!.. kumbe hata taifa kubwa(super power) bado halijaweza kujitosheleza kwenye huduma za kiafya?...🙄🙄🙄...?
Mpaka sasa, Marekani imekuwa na vitanda vya ziada kama 400 hivi, tatizo Corona imeongeza wagonjwa wengi sana kwa muda mfupi .
 
Uchumi wa Marekani ulishakuwa unashuka kwa kasi kubwa kabla ya hii Corona, sema media zote za mirengo ya kulia na kushoto zilikuwa hazitangazi. Angalia feds walivyokuwa wanashusha interest rates toka mwaka jana utaelewa kuwa uchumi uko hoi.
Media zote including cnn ni anti-Trump uchumi wa marekani wa utawala huu wa Trump haujawahi kutokea kwa miaka 50 iliyopita.

Pili, bei ya mafuta inaporomoka vibaya sana, kuna sehemu Dallas gas station zinauza gas $0.99 kwa gallon, mara ya mwisho niliweka mafuta kwa bei hiyo ilikuwa miaka ishirini iliyopita, sijui wewe ulikuwa wapi kipindi hicho.
Siwezi kuzungumzia chochote cha Dallas hata kufika sijawahi, zungumza kuhusu Louisiana na Minnesota kwa ujumla.

Kama hujui, Marekani ilikuwa namba moja kwa uchimbaji wa mafuta duniani kutokakna na hydraulic fracturing. Hii teknolojia ni ghali sana, makampuni ya uchimbaji yamekuwa yakikopa benki ili kuendesha hii biashara. Ili makampuni hayo yaweze kujiendesha, inabidi bei ya mafuta iwe $50 (break even point). Sasa hivi bei ya pipa ni chini ya $20.

Urusi na Saudia wanaendelea kushindana bei ya mafuta kwa kuyajaza kwenye soko, soko ambalo halina wateja, watu wengi wako majumbani. Tuombe Mungu tuu, hali itakuwa mbaya siku zijazo, hii corona imeongezea kuni tuu.

Makampuni mengi yatahitaji bailout, kitu ambacho hakitawezekana sasa, usione watu wajinga kununua bunduki kwa wingi kipindi hiki, wanaelewa kinaweza nuka muda wowote.
Uchumi wa America hautegemei petroli embu zungumzia kitu kingine aisee this is not third world shithole
 
Media zote including cnn ni anti-Trump uchumi wa marekani wa utawala huu wa Trump haujawahi kutokea kwa miaka 50 iliyopita.
Federal reserve wameshusha interest rate mpaka kufikia 0.25. Unaelewa maana yake?
Uchumi wa America hautegemei petroli embu zungumzia kitu kingine aisee this is not third world shithole
Kumbe wewe mweupe sana, hivi unajua hata petrol dollar ni nini?
 
Corona ni muujiza wa kizazi chetu

Binadam anajimwambafai sana kiasi cha kujisahau

Leo mafua na kikihozi kimepelekea watu billions kadhaa kusalia majumbani mwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Federal reserve wameshusha interest rate mpaka kufikia 0.25. Unaelewa maana yake?
Kumbe wewe mweupe sana, hivi unajua hata petrol dollar ni nini?
Usirudie kuniita mweupe nakusisitiza sana ufala sipendi, ignorance is on the wrong page!
US has the lowest emissions of CO2 in 60 yrs.
US inashusha bei ya average cars.
US inshusha bei ya kila kitu na wana increase workers wage.

You came from hell with your nonsenses 😏 teeena
 
Mbona unaruka ruka, nimekuuliza unaelewa maana ya petrodollar na nguvu yake kwenye uchumi wa US?
 
TRUMP - WAMAREKANI MJIANDAE KWA SIKU NGUMU ZIJAZO: Katika hotuba yake Rais Donald Trump wa Marekani jana, haikuwa na maneno matamu wala matarajio ya kuwepo kwa tiba ya miujiza au mawazo ya kufungua biashara majira ya sikukuu za Pasaka.

Ilikuwa hotuba baridi, yenye ukweli mchungu kuhusu mazingira halisi ya nchi hiyo inayopitia katika suala la #COVID19.

"Ninataka kila Mmarekani kujiandaa kwa siku ngumu zilizopo mbele yetu," janga liko mbele yetu alisema Donald Trump
jana Jumanne katika mkutano wake na waandishi wa habari.

"Hali hii linakwenda kuwa ya maumivu sana katika wiki mbili zijazo."

Katika hotuba yake, #RaisTrump ameongeza masharti na maelekezo ya kukabiliana na virusi vya #Corona mpaka mwishoni mwa mwezi Aprili huku akisisitiza karantini katika majimbo mengi na kuongeza kuwa huenda idadi ya vifo ikafika kati ya watu 100,000 - 200,000 ifikapo Aprili 15,2020 akitolea mfano mpaka sasa jumla ya Wamarekani 2,214 wanatarajiwa kufariki dunia.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Trump ameandika yanayotakiwa kufanywa na Wamarekani wakati huu wa Siku 30 za kupunguza maambukizi ya virusi vya corona.
 
Back
Top Bottom