Majukwaa ya JF

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,204
Mengine yanatembelewa na watu wengi sana, wanachangia na kutoa hoja mbalimbali,
mengine hayatembelewi na hayachangiwe.
Je wewe unapenda kutembelea na kuchangia majukwaa yepi?
 
Siingii kwenye majukwaa, lm always dealing with NEW POSTS link, hapo napata ishu zote mchanganyiko, ndipo nachagua ya kuisoma kisha kuichangia
 
Back
Top Bottom