Majukumu ya mwenyekiti wa mtaa

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
399
500
Ndugu zangu,Binafsi ni Kijana,Na ni Mkaazi wa Mjini tena huku mjini kwenyewe ni wapangaji tu kwenye majumba ya kupanga.Hoja yangu mm hapa ni Kujuzwa majukumu ya Hawa watu wanaoitwa Weenyeviti wa Mtaa, Kwani Sasa hv huku mtaani tunakutana na kampeni za tukapige kura za kuwachagua kwa hapa mjini wanoitwa Wenyeviti ilhali sisi wazaliwa wa mjini Hatujui kazi za hao Wenyeviti kwani Hta Kwenye katiba Siwaoni na Hta hiyo Serikali haiwalipi hata posho.sasa naombwa kujuzwa kwa anayefahamu atujuze tusiyofahamu ili tujue tunapiga kura kwa nani na atufanyie nini?Binafsi naona Serikali ingetoa Elimu kwa kizazi hiki kipya juu ya watu hawa kwani wengi wetu hasa mijini hatujui Mwenyekiti wa mtaa ni nani anawajibika nini kwangu.Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom