Majukumu ya Mke wa Raisi ni pamoja na........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majukumu ya Mke wa Raisi ni pamoja na...........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Oct 15, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,339
  Likes Received: 56,633
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akikabidhi tuzo kwa niaba ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake kijijini Butima. Tuzo hiyo amepewa kutokana na mchango wake mkubwa ambapo ametoa kiwanja chake kwa umoja huo kujenga ofisi zao. (Picha na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,339
  Likes Received: 56,633
  Trophy Points: 280
  Sikujua ya kuwa majukumu ya mke wa Raisi ni pamoja na kuwanyang'anya UWT majukumu yao...................yeye ana kijikundi chake anakiita WAMA sasa sijui kwa nini asifanye kazi za NGO yake......................publicity stunt or just news monger?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Nimekumbuka bembea ya Jamaicaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 4. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 645
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Look at the pictures then compare and contrast.........
   
 5. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ndio mama JK kila sekta yupo ana kiherehere sana halafu kitu ambacho ananikera sana hayuko makini kabisa,unaweza ukampa elfu moja ukamwambia ni elfu kumi na yeye bila kuangalia atakwambia ni sawa.
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  He!Inamaana ndivyo alivyo?
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ruta clarify pls? UWT ambao ni TISS au hawa akina mama?
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Wa akina Sophia bana!!!
  Huyu mama ni perfect reflection ya mumewe!!
   
Loading...