Majukumu ya Controllers katika kampuni ya Ulinzi ni yepi?

mandwa

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
1,438
326
Habari wakuu
Naomba mnisaidie kazi au majukumu ya controller katika kampuni ya ulinzi ni yapi na mshahara kiasi gani kwa kampuni za watu binafsi
Nimeona nafasi za kazi tajwa kutoka kiwango security
Asanteni
 
Ukibahatika unaweza kulipwa zaidi ya 200k ila mostly ni kwenye 180 hv ila ngoja wataalamu waje watakusaidia vizuri
 
tangazo liko wapi boss tu apply wote mi nahisi labda ni usupervisor tu
Habari wakuu
Naomba mnisaidie kazi au majukumu ya controller katika kampuni ya ulinzi ni yapi na mshahara kiasi gani kwa kampuni za watu binafsi
Nimeona nafasi za kazi tajwa kutoka kiwango security
Asanteni
 
Angalia tangazo
Majukumu/ kazi za hiyo post huwa zinasndikwa
Habari wakuu
Naomba mnisaidie kazi au majukumu ya controller katika kampuni ya ulinzi ni yapi na mshahara kiasi gani kwa kampuni za watu binafsi
Nimeona nafasi za kazi tajwa kutoka kiwango security
Asanteni
 
controllers inategemea...Basically ni kumonitor Alarm System na kucomaand crews waattend, kucommunicate na clients pia kumonitor hali za Guards, vyote hivi vinategemea na uwezo wa kampuni, technologically na operational, najua controllers wa KK Security wako more sophisticated ukicompare na company nyinginezo kutokana na eknolojia yao kuwa ya hali ya juu.
 
Mimi nimewahi kuwa control room & CCTV operator kwenyw kampuni ya intelligence SECURITY., Ni uboya mtupu, sikumaliza hata mwezi nikaacha.
Inategemea unakwenda kuwa controller wa nini, pia usifanye kazi bila kupewa mkataba ambao ndio utaonyesha maslahi n.k.
 
Poa

Back
Top Bottom