Habari wakuu
Naomba mnisaidie kazi au majukumu ya controller katika kampuni ya ulinzi ni yapi na mshahara kiasi gani kwa kampuni za watu binafsi
Nimeona nafasi za kazi tajwa kutoka kiwango security
Asanteni
salary ni 80,000/=

Mimi nimewahi kuwa control room & CCTV operator kwenyw kampuni ya intelligence SECURITY., Ni uboya mtupu, sikumaliza hata mwezi nikaacha.
Inategemea unakwenda kuwa controller wa nini, pia usifanye kazi bila kupewa mkataba ambao ndio utaonyesha maslahi n.k.